DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Shinyanga zipo zinajengwa ambazo zikikamilika hazitakwepeka!

Kipande cha Tinde-Isaka kuna hiyo crossing inajengwa Isaka kuikwepa upite Nzega-Kagongwa ambako nako reli ikijengwa Tabora-Isaka lazima hicho kivuko kiwepo!

Shy-Mza pale Mwigumbi inajengwa kuikwepa uzungukie Bariadi na kama inajengwa na kabla ya Shinyaga mjini eg Ibinza ilikopita MGR ndiyo hakuna mbadala tena ya kuchepukia to Mwanza.
Walishaisurvey njia.
 
Huo msafara una kila idara hadi mainjinia wa Tanesco kazi yao kupangua waya za umeme bila kuwasahau wanajeshi wapo ,ndio maana watu wana wasiwasi hadi lifike uko mwanza gharama itakayotumika sawa na kukifanyia matengenezo kivuko cha pale magogoni Dar es salaam.
Aluuu sawa sawa
 
Hiyo Boat ilipaswa kushushiwa Mombasa, iende Kisumu uingie ziwani ianze yenyewe safari ya Mwanza.

Au wangeipakia kwenye Antonov wakashusha pale Mwanza Airport halafu ikapelekwa Ziwani huko.

Ingetenezewa kichanja chake cha matairi huko ilikotoka, unaivuta na kichanja chake ukitumia hose na sio kuipakia juu ya low bed.
 
Kuna Boti inasafirishwa kutoka Mtwara Kwenda Mwanza. Itatumia muda wa Mwezi mmoja au zaidi, kutumia barabara ni kutojali watumiaji wengine wa barabara.

Kama umekutana nayo, hii Boti ni Kero sana. Najiuliza kwanini haijasafirishwa Vipande? Mzigo kama huu unatakiwa Uchinjwe ndo usafirishwe
View attachment 3358312
Kuna wakati Marehemu Magufuli alishakataa kutumia Barabara kusafirisha Boti kubwa hivi.

Mzigo huu wa abnormal umeanza safari jana tarehe 05.06.2025 leo tumekuata nalo Ndanda. Unatoka Mtwara kupitia Ruvuma - Njombe - Iringa - Morogoro - Dodoma - Singida - Tabora - Shinyanga - Mwanza

VIPIMO
Urefu mita 29
Upana mita 5.6
Kimo mita 7.4

Kwa upande wangu naona si sawa. Barabara zetu nyembamba sana.
View attachment 3358313
Hii picha ni ya leo wakiwa wamefika Ndanda. Kisa kaomba kibali.

TUPEANE UPDATES

Kutoka Mtwara
View attachment 3359185
📍Leo tarehe 07/06/2025 Masasi Stand mataa saa 13:05
Uelekeo Lake Zone.
Km 200 Siku 3 😂😂
Hivi kwa akili yangu walishindwa kuupeleka mpaka bandari Tanga
 
Kazi ipo mkuu! Sijui kwa nini serikali inalazimisha kutumia akili za mtu mmoja ambaye ni zero brain! Itabidi wakifika Mwigumbi kama ulivyosema waende uelekeo wa Bariadi na wakaishushie Busega pale kwenye Gati la Nyamikoma.
Njia ipo yakupitia Old Shinyanga,ambayo unatokea sehemu panaitwa Bubiki ambapo ilo daraja la mwigumbi unakua umeliacha nyuma.Na hapo Old Shinyanga napo kuna daraja ila lenyewe barabara ndio inapita juu reli chini pia bado wajakamilisha kujaza kifusi hivyo magari yanapita pembeni ya daraja.
 
Kuna Boti inasafirishwa kutoka Mtwara Kwenda Mwanza. Itatumia muda wa Mwezi mmoja au zaidi, kutumia barabara ni kutojali watumiaji wengine wa barabara.

Kama umekutana nayo, hii Boti ni Kero sana. Najiuliza kwanini haijasafirishwa Vipande? Mzigo kama huu unatakiwa Uchinjwe ndo usafirishwe
View attachment 3358312
Kuna wakati Marehemu Magufuli alishakataa kutumia Barabara kusafirisha Boti kubwa hivi.

Mzigo huu wa abnormal umeanza safari jana tarehe 05.06.2025 leo tumekuata nalo Ndanda. Unatoka Mtwara kupitia Ruvuma - Njombe - Iringa - Morogoro - Dodoma - Singida - Tabora - Shinyanga - Mwanza

VIPIMO
Urefu mita 29
Upana mita 5.6
Kimo mita 7.4

Kwa upande wangu naona si sawa. Barabara zetu nyembamba sana.
View attachment 3358313
Hii picha ni ya leo wakiwa wamefika Ndanda. Kisa kaomba kibali.

TUPEANE UPDATES

Kutoka Mtwara
View attachment 3359185
📍Leo tarehe 07/06/2025 Masasi Stand mataa saa 13:05
Uelekeo Lake Zone.
Km 200 Siku 3 😂😂
Asilimia kubwa ya watanzania hawana kazi aisee!! Sasa Hilo kundi hapo ndio wamejikusanya kushangaa hiyo boti?

Viongozi wa CCM mtalipa kama sio hapa duniani basi mbinguni
 
Shinyanga zipo zinajengwa ambazo zikikamilika hazitakwepeka!

Kipande cha Tinde-Isaka kuna hiyo crossing inajengwa Isaka kuikwepa upite Nzega-Kagongwa ambako nako reli ikijengwa Tabora-Isaka lazima hicho kivuko kiwepo!

Shy-Mza pale Mwigumbi inajengwa kuikwepa uzungukie Bariadi na kama inajengwa na kabla ya Shinyaga mjini eg Ibinza ilikopita MGR ndiyo hakuna mbadala tena ya kuchepukia to Mwanza.
Njia mbadala yakukwepa mwigumbi ipo, inapitia Old Shinyanga unatokea Bubiki ambapo hapo unakua umeiacha Mipa na mwigumbi nyuma.Pia SGR kwa Shinyanga mjini haijafata MGR imekwepa imepita pembeni imepita Mwawaza, chibe, inaibukia Old Shinyanga.Napo hapo Old Shinyanga kuna daraja limejengwa ila penyewe barabara ndio inapita juu reli chini ila bado napo wajakamilisha kujaza vifusi magari bado yanapita pembeni.
 
Back
Top Bottom