The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,232
Kenya ni karibu na mwanza kuliko mtwaraKumbuka hiyo ni nchi nyingine mkuu. wangeweza kutumia njia ya bahari hadi mombasa lakini huko kote ni Kenya
Kenya ni karibu na mwanza kuliko mtwaraKumbuka hiyo ni nchi nyingine mkuu. wangeweza kutumia njia ya bahari hadi mombasa lakini huko kote ni Kenya
Leo ililala ndanda na sasa inapita masasiNapenda kufuatilia safari ya huu mzigo, wakuu hii boti imepita wapi kwa sasa, tupeni picha waliyokutana nayo njiani, niko Morogoro naisubiri.
Nipe picha niko interested sanaLeo ililala ndanda na sasa inapita masasi
Ina maana kwenye picha huoni wameshika waya za umeme?Hao uko juu wanafanya nini🙄😂
Kwaio wanashika ili boti ipite? Au ili wao wapite? 🤗Ina maana kwenye picha huoni wameshika waya za umeme?
Naona, nadhani hiyo tulielezwa wakati wanaanza safari na ilitumwa jana, namaanisha update mkuuIna maana kwenye picha huoni wameshika waya za umeme?
Una uhakika? Nisahihishe.. Inapita wapiHiyo route umekosea kidogo. Hakuna kupita Morogoro
Kazi kweli kweliKwaio wanashika ili boti ipite? Au ili wao wapite? 🤗
Hata Tanga mbona ni karibu kuliko Mtwara? Hili nchi linaongozwa na zero brain, wamepigwa kishwahili wakaingia kingi! Hakuna anayejali hata kuna upigaji. Hapo ni posho ndiyo inatafutwa!Wametumia njia ndefu sana wangeishushia mombasa kisha iende hadi Kisumu ni karibu wangetumia siku tano kwa gharama nafuu
Kisha Kisumu Mwanza
Sema nayo ni kerooo ,sio hilii tuuu ,ndio maana Mpango ameamua kung"atukaaa hataki ukabailaaHiyo ilishaongelewa mara nyingi. Nikupe link au una hoja nyingine?
Kazi ipo mkuu! Sijui kwa nini serikali inalazimisha kutumia akili za mtu mmoja ambaye ni zero brain! Itabidi wakifika Mwigumbi kama ulivyosema waende uelekeo wa Bariadi na wakaishushie Busega pale kwenye Gati la Nyamikoma.Shinyanga zipo zinajengwa ambazo zikikamilika hazitakwepeka!
Kipande cha Tinde-Isaka kuna hiyo crossing inajengwa Isaka kuikwepa upite Nzega-Kagongwa ambako nako reli ikijengwa Tabora-Isaka lazima hicho kivuko kiwepo!
Shy-Mza pale Mwigumbi inajengwa kuikwepa uzungukie Bariadi na kama inajengwa na kabla ya Shinyaga mjini eg Ibinza ilikopita MGR ndiyo hakuna mbadala tena ya kuchepukia to Mwanza.
Iringa kwenda Dodoma kupitia Mtera ni ngumu kwa huo mzigo kupita pale Mtera ndio maana wanatumia njia ya Morogoro kisha Dodoma ambayo barabara yake ina uwezo wa kupitisha huo mzigoHiyo route umekosea kidogo. Hakuna kupita Morogoro