DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
sie wengine ni burudani tunapiga nayo selfie, mkuu uliambiwa huu mzigo una tani ngapi? barabara zetu zina upana wa mita 35, huu mzigo ni 5.6, barabara zetu zinaruhusu mzigo wa 9m huu ni 7.4m. sasa boss ni kitu gani kinacho kukera hapo, mbona, makatapila greda zinabebwa kwenye lawbed na zinafika.
 
Kuna picha eti …
 
Njia mbadala yakukwepa mwigumbi ipo, inapitia Old Shinyanga unatokea Bubiki ambapo hapo unakua umeiacha Mipa na mwigumbi nyuma.Pia SGR kwa Shinyanga mjini haijafata MGR imekwepa imepita pembeni imepita Mwawaza, chibe, inaibukia Old Shinyanga.Napo hapo Old Shinyanga kuna daraja limejengwa ila penyewe barabara ndio inapita juu reli chini ila bado napo wajakamilisha kujaza vifusi magari bado yanapita pembeni.
Asante kwa ufafanuzi Chief,

Hivi yale madaraja membamba ya hiyo barabara ya Old Shinyanga-Bubiki yalishajengwa mapya!

Nilijua hiyo barabara imetelekezwa baada ya ujenzi wa lami kupitia Maganzo.
 
Hii boti ni kero hadi wananchi wanashangaa Serikali imeruhusuje?
 
sie wengine ni burudani tunapiga nayo selfie, mkuu uliambiwa huu mzigo una tani ngapi? barabara zetu zina upana wa mita 35, huu mzigo ni 5.6, barabara zetu zinaruhusu mzigo wa 9m huu ni 7.4m. sasa boss ni kitu gani kinacho kukera hapo, mbona, makatapila greda zinabebwa kwenye lawbed na zinafika.
Basi huelewi. Barabara yote kwena na kirudi nso Mita 9 hadi watembea kwa Miguu. Unasema nini wewe?

Ukipiga hayua pale Kongwa mwanzo wa barabara hadi mwisho utapata mita ngapi?
images.jpeg
 
kwa WAtumishi tu wa kawaida ndani ya wizara.
Bongo wizara zenye mishahara minono ni zipi bwashee ukitoa wizara ya tamisemi, wizara ya TRA na Wizara ya Ulinzi
 
sie wengine ni burudani tunapiga nayo selfie, mkuu uliambiwa huu mzigo una tani ngapi? barabara zetu zina upana wa mita 35, huu mzigo ni 5.6, barabara zetu zinaruhusu mzigo wa 9m huu ni 7.4m. sasa boss ni kitu gani kinacho kukera hapo, mbona, makatapila greda zinabebwa kwenye lawbed na zinafika.
VIWANGO VYA UPANA WA BARABARA NCHINI TANZANIA
Kwa mujibu wa Kanuni ya 27 ya Kanuni za Sheria ya Barabara yam waka 2007
I. Upana wa lane (saiti) kila upande ni kama ifuatavyo
(a) Barabara Kuu, mita 3.25
(b) Barabara za Mikoa, mita 3.25
(c) Barabara za Wilaya, mita 3.1
II. Upana wa Hifadhi ya Barabara (Road Reserve) ni kama ifuatavyo
(a) Barabara kuu, ni mita 30 kila upande kutoka katikati ya barabara kwa barabara zenye single varriage way.[ yaani kila upande inaenda gari moja]
(b) Barabara kuu zenye dual carriageway, [yaani zinaenda gari mbili kila upande], ni mita 30 kila upande kutoka katikati ya dual carriageway
(c) Barabara zinazolisha barabara kuu (feeder roads) ni mita 15 kila upande.
III. Hifadhi ya barabara kuu ya morogoro (Morogoro road) ni kama ifuatavyo ikipimwa kutoka makutano ya barabara ya Umoja wa mataifa
(a) Km 10-16 ni mita 90
(b) Km 16-37 ni mita 120
(c) Km 37-69 ni mita 60
(d) Km 69-70, ni mita 60 (daraja la ruvu)
(e) Km 90 na kuendelea, ni mita 60
 
Iringa kwenda Dodoma kupitia Mtera ni ngumu kwa huo mzigo kupita pale Mtera ndio maana wanatumia njia ya Morogoro kisha Dodoma ambayo barabara yake ina uwezo wa kupitisha huo mzigo
Dah! Nawazia Kitonga
 
Kazi ipo mkuu! Sijui kwa nini serikali inalazimisha kutumia akili za mtu mmoja ambaye ni zero brain! Itabidi wakifika Mwigumbi kama ulivyosema waende uelekeo wa Bariadi na wakaishushie Busega pale kwenye Gati la Nyamikoma.
Kumbe Nyamikoma kuna gati!! Pamoja na lufika sikuwahi kujua. Nyashimo, Nyamikoma. Kalemela, Rwamgasa, Lamadi
 
sie wengine ni burudani tunapiga nayo selfie, mkuu uliambiwa huu mzigo una tani ngapi? barabara zetu zina upana wa mita 35, huu mzigo ni 5.6, barabara zetu zinaruhusu mzigo wa 9m huu ni 7.4m. sasa boss ni kitu gani kinacho kukera hapo, mbona, makatapila greda zinabebwa kwenye lawbed na zinafika.
Watu wanamakasiriko na mzigo wa taifa😂😂😂 kuna wengine wajifanya wajuaji eti ooh ungepita Tanga... wanadhani waliochagua option hiyo hawana akili.

Mimi huu mzigo ninao hadi ufike...Mungu awasaidie wafike salama Mwanza
 
Hiyo Boat ilipaswa kushushiwa Mombasa, iende Kisumu uingie ziwani ianze yenyewe safari ya Mwanza.

Au wangeipakia kwenye Antonov wakashusha pale Mwanza Airport halafu ikapelekwa Ziwani huko.

Ingetenezewa kichanja chake cha matairi huko ilikotoka, unaivuta na kichanja chake ukitumia hose na sio kuipakia juu ya low bed.
kenya, martha karua ataweka pingamizi
 
Labda walinyimwa vibali.
Nahisi Tanga ingekuwa karibu.
Dar pia karibu tatizo interchange na flyover za Dar na daraja la treni pale Ruvu karibu na Vigwaza.
Wangesafirisha vipande au na ndege kubwa mfano wa iliyoleta mitambo ya umeme ya Richmond.
Au helicopter inabeba chap kwa
 
Helicopter itatakiwa kubwa sana. Gharama kubwa

Tatizo kubwa litakuwa umbali.
Mkuu nimewaza kitu hapa ... Maana ni mwasisi na mtalamu wa physics..

Mfano mzigo kama huu ukabebwa na helicopter hata tatu..
Maana root ya angani kwa helicopter sizani kama ina complication...

Vipi hapo haiwezekani ...
Usiseme ni utoto ila nafatilia sana hii ishu ya huu mzigo
 
Back
Top Bottom