Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
AsantiSio kila barabara inamudu huo mzigo, ingekuwa wanatafuta njia fupi basi wangepita Lindi to Dar, Moro, Dom kwenda Mwanza.
Route iliyotangazwa ni ya Iringa to Dom kwa kupitia Moro.
Wanakwepa miteremko, madaraja ya juu, kona, nk....