DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

DOKEZO Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kwahiyo Serikali ikifanya kitu kinakuwa sahihi? Yaani mfanyakazi wa Serikali akifanya maamuzi ya kutoa kibali ni sawa na Mungu kasema sio?
Kumbe vibali vinatakiwa mpaka viidhinishwe na Mungu tena? How?

Huyo alieaminiwa kuviidhinisha hivyo vibali hatoshi? Kwanini?

Hapo kwenye weusi zaidi, ni upi mbadala wa Mamlaka ya Serikali kwa JMT?
 
mkiambiwa tatizo ni uislamu wa tanzagiza mnasema sijui udini ona sasa, hivi unafikiri Magu angekuwepo wangeshindwa kutafuta suluhisho la kuifikisha hiyo meli mwanza? kwanza gharama tu wanaoyutumia hapo achilia mbali risk za ajali kuharibika nina uhakika mpaka kufika watahitaji kuleta wahandisi walioitengeneza kufanya repair Magu lazima angekuja na suluhisho tu.

kumbuka hiyo meli walitoa oda, ikaundwa wakalipa na lkn hawakufikiria wataisafirishaje? …
Still in a slumber mood ain’t we?

Sad when a living, breathing creature is dependent of a dead animal.

“He” even dares fellow Men who got guts…
 
Njia mbadala yakukwepa mwigumbi ipo, inapitia Old Shinyanga unatokea Bubiki ambapo hapo unakua umeiacha Mipa na mwigumbi nyuma.Pia SGR kwa Shinyanga mjini haijafata MGR imekwepa imepita pembeni imepita Mwawaza, chibe, inaibukia Old Shinyanga.Napo hapo Old Shinyanga kuna daraja limejengwa ila penyewe barabara ndio inapita juu reli chini ila bado napo wajakamilisha kujaza vifusi magari bado yanapita pembeni.
Anyway, njia ya Old Shinyanga sijaipita muda mrefu sijajua ile crossing ya SGR pale mbele ya idara ya Maji karibu na kiwanda cha nyama inapita juu au inapita chini? Kama reli inapita juu basi itakuwa ngumu kuipitisha huko itabidi waende tu Bariadi.
 
Still in a slumber mood ain’t we?

Sad when a living, breathing creature is dependent of a dead animal.

“He” even dares fellow Men who got guts…

yeah wakati mwingine dead animals are more competent than a living mslim …
 
Namtumbo
 
Songea Mjini
 
Back
Top Bottom