mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Huvi watapita na sekenkeYeah, nadhan kesho watakuwa wanashuka kitonga hawa.
Siyo
Ova
Huvi watapita na sekenkeYeah, nadhan kesho watakuwa wanashuka kitonga hawa.
hashimu rungwe alisema itapelekwa boat dodoma tukamwona wa ajabu. kumbe inawezekana kupeleka boat dodomaNimengalia taarifa moja huko nyumbani eti kijiji kizima sijui wilaya nzima wamejitokeza kushangaa boti inayosfirishwa kwa njia ya barabara , i was like seriously kweli tumerogwa, ndio maana vilaza wanatutawala easily.
kwa mara ya kwanza dodoma wataona boat, hashimu rungwe anamaono sana huyu babasi ilisemwa inapita njia ya iringa moro dodoma na sio iringa dodoma
Lo lote liwakute 🚮Yeah, nadhan kesho watakuwa wanashuka kitonga hawa.
Dah ... Hahaha.Lo lote liwakute 🚮
Kuepuka usumbufu wa askari barabaraniMbona kuna bango la ccm
Inashuka paleYeah, nadhan kesho watakuwa wanashuka kitonga hawa.
Mkuu wale waliomo kwenye msafara wanatumwa tu...Lo lote liwakute 🚮
NadhaniHuvi watapita na sekenke
Siyo
Ova
Lo lote liwakute hapo Kitonga; na kule Sekenke 🚮🚮🚮Mkuu wale waliomo kwenye msafara wanatumwa tu...