Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 22,714
- 34,545
HaliweziLyamba la mfipa, pia wanaweza kukwepa kupita hapo wakapita kibaoni baada ya kutoka kizi, wasiwasi wangu daraja la sitalike sidhani kama linaweza himili huo uzito
HaliweziLyamba la mfipa, pia wanaweza kukwepa kupita hapo wakapita kibaoni baada ya kutoka kizi, wasiwasi wangu daraja la sitalike sidhani kama linaweza himili huo uzito
Kwani Kuna lami pote kuunganisha Mpanda -Sumbawanga ?Lyamba la mfipa, pia wanaweza kukwepa kupita hapo wakapita kibaoni baada ya kutoka kizi, wasiwasi wangu daraja la sitalike sidhani kama linaweza himili huo uzito
Muda huohuo lilipoungiwa huko.Hilo kulikata na kuliunga lingechukua muda gani ?
Vipi waswahili wasingeuza screpa hizo engine na vyuma vingine ?
Bado vumbi na mbaya kwelikweli.Kwani Kuna lami pote kuunganisha Mpanda -Sumbawanga ?
Nilipita 2022 hakukuwa na lami kuanzia Lyanzumbi mpaka Stalike njia ya kupita kwenye hifadhi
So walipaki kwanza pembeni ili mpite?
MsamvuNapenda kufuatilia safari ya huu mzigo, wakuu hii boti imepita wapi kwa sasa, tupeni picha waliyokutana nayo njiani, niko Morogoro naisubiri.
Dah..... mtoto wangu wa miaka 2 kaniuliza maswali ambayo yamenifanya wiki ya pili hii sijarudi nyumbani kwa kukosa majibu. Mashangazi na wajomba naomba msaada.....Kuna Boti inasafirishwa kutoka Mtwara Kwenda Mwanza. Itatumia muda wa Mwezi mmoja au zaidi, kutumia barabara ni kutojali watumiaji wengine wa barabara.
Kama umekutana nayo, hii Boti ni Kero sana. Najiuliza kwanini haijasafirishwa Vipande? Mzigo kama huu unatakiwa Uchinjwe ndo usafirishwe
View attachment 3358312
View attachment 3360031
Kuna wakati Marehemu Magufuli alishakataa kutumia Barabara kusafirisha Boti kubwa hivi.
Mzigo huu wa abnormal umeanza safari jana tarehe 05.06.2025 leo tumekuata nalo Ndanda. Unatoka Mtwara kupitia Ruvuma - Njombe - Iringa - Morogoro - Dodoma - Singida - Tabora - Shinyanga - Mwanza
VIPIMO
Urefu mita 29
Upana mita 5.6
Kimo mita 7.4
Kwa upande wangu naona si sawa. Barabara zetu nyembamba sana.
View attachment 3358313
Hii picha ni ya leo wakiwa wamefika Ndanda. Kisa kaomba kibali.
TUPEANE UPDATES
Kutoka Mtwara
View attachment 3359185
📍Leo tarehe 07/06/2025 Masasi Stand mataa saa 13:05
Uelekeo Lake Zone.
Km 200 Siku 3 😂😂
View attachment 3359973
VIWANGO VYA UPANA WA BARABARA NCHINI TANZANIA
Kwa mujibu wa Kanuni ya 27 ya Kanuni za Sheria ya Barabara yam waka 2007
I. Upana wa lane (saiti) kila upande ni kama ifuatavyo
(a) Barabara Kuu, mita 3.25
(b) Barabara za Mikoa, mita 3.25
(c) Barabara za Wilaya, mita 3.1
II. Upana wa Hifadhi ya Barabara (Road Reserve) ni kama ifuatavyo
(a) Barabara kuu, ni mita 30 kila upande kutoka katikati ya barabara kwa barabara zenye single varriage way.[ yaani kila upande inaenda gari moja]
(b) Barabara kuu zenye dual carriageway, [yaani zinaenda gari mbili kila upande], ni mita 30 kila upande kutoka katikati ya dual carriageway
(c) Barabara zinazolisha barabara kuu (feeder roads) ni mita 15 kila upande.
III. Hifadhi ya barabara kuu ya morogoro (Morogoro road) ni kama ifuatavyo ikipimwa kutoka makutano ya barabara ya Umoja wa mataifa
(a) Km 10-16 ni mita 90
(b) Km 16-37 ni mita 120
(c) Km 37-69 ni mita 60
(d) Km 69-70, ni mita 60 (daraja la ruvu)
(e) Km 90 na kuendelea, ni mita 60
View attachment 3362515
=====
UPDATES: 09/06/2025
=====
Sasa ile Boti inayosafirishwa imekuwa ya Kisiasa. Imebandikwa picha za Rais Samia kila Sehemu hadi kwenye Gearbox.
View attachment 3376118
Watu wanaisindikiza huku wameshikilia bendera za CCM na kulindwa na Polisi.
View attachment 3362097
Nilijua ni usafirishaji kumbe ni mkakati wa Kisiasa ndo maana Sheria hazifuatwi
View attachment 3362624
UPDATES ZA MKOANI NJOMBE
TANESCO Njombe wametoa tangazo ka kutika kwa mara kwa mara kwa umeme kuanzia Tarehe 13/6/2025 ili Gari liliobeba Boti lisiharibu Miundombinu.
Hii ni kero. Mimi Nilishauri likatwe vipande. Wangeshakuwa wamefika Mwanza
View attachment 3367179
Dah..... mtoto wangu wa miaka 2 kaniuliza maswali ambayo yamenifanya wiki ya pili hii sijarudi nyumbani kwa kukosa majibu. Mashangazi na wajomba naomba msaada.....
1. Boti hii ni mali ya nani? Serikali au binafsi?
2. Kama binafsi mkataba wake na serikali ukoje?
3. Kama ni ya serikali imegharimu kiasi gani hadi ifike Mwanza? Na mchakato wake wa manunuzi ukoje?
4. Je gharama za usumbufu/hasara zilizosababishwa na usafirishaji wa boti hii kwenye shughuli za kiuchumi za wananchi zitalipwa na nani na kiasi gani?
5. La mwisho lililonivuruga kichwa anadai watanzania tuko zaidi million 60.... tumeshindwa kabisa kuiunda hii boti ya mabati kulekule ziwani Mwanza?
Mashangazi na wajomba nisaidieni majibu ili niweze kurudi nyumbani.
Mitano tena!
Dah..... mtoto wangu wa miaka 2 kaniuliza maswali ambayo yamenifanya wiki ya pili hii sijarudi nyumbani kwa kukosa majibu. Mashangazi na wajomba naomba msaada.....
1. Boti hii ni mali ya nani? Serikali au binafsi?
2. Kama binafsi mkataba wake na serikali ukoje?
3. Kama ni ya serikali imegharimu kiasi gani hadi ifike Mwanza? Na mchakato wake wa manunuzi ukoje?
4. Je gharama za usumbufu/hasara zilizosababishwa na usafirishaji wa boti hii kwenye shughuli za kiuchumi za wananchi zitalipwa na nani na kiasi gani?
5. La mwisho lililonivuruga kichwa anadai watanzania tuko zaidi million 60.... tumeshindwa kabisa kuiunda hii boti ya mabati kulekule ziwani Mwanza?
Mashangazi na wajomba nisaidieni majibu ili niweze kurudi nyumbani.
Mitano tena!
Sasa Kampeni za Mama mitano tena tungwfanyia wapi? 🤣🤣Wangelishusha bandari ya mombasa kenya,kisha likasafiri kwa barabara km chache kisha lake victoria mpaka ufuo wa lake victoria mwanza simple tu.
Nasikia hawajapita katikati ya mjiDodoma hakukuwa na fujo nyingi kama nilivyo hisi
View attachment 3378638
Bingwa wa baikokoSimba bingwa
Wakitoka hapo wakapige visunguraHii ni Noti. Sio Panton wala Ferry. Hela za kuifanyia Promo zilizotoka, zinaweza nunnua Boti 5 kama hii. Posho za watu kuipokea, kkuisindikiza kwa Magari na Pikipiki, kukusanya vikundi mbalimbali.
Tanzania bado wana safari ndefu
View attachment 3377135