Boti ya Uokoaji yafika Iringa, Wananchi wakusanyika kushuhudia

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Lingekuwa linagombea urais lingepata, haliongei lakini limepata washabiki katika mikutano yake
 
Boti imebebwa na semi - Mama anasifiwa.

Sasa hao wakija kuziona Meli za containers itakuwaje?
 
Duh mama tena! Mitano tena! Haya nayo ni maoni😂
 
Nadhani ingeitwa "Boti ifanyayo kampeni za Mama"!Watu wengi (nadhani wengi wao ni wale ambao hawaishi sehemu zenye usafiri wa kwenye mito,maziwa au bahari)wanaacha kazi au mambo yao na kwenda kushangaa boti/ambulance.Na bado watakwambia hawamdai mtu kitu kisiasa pamoja na ushamba wao ingawa si dhambi iliyo dhahiri.
 
stupid burger, wapongeza boti, boti tu! takataka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…