MtamaMchungu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 10,115
- 15,057
Ikifika Kitonga mniambie
Unawapangia? Nguruwe pori kweli, watanzania ni waelewa sana huwezi kuwatoa kwenye reli watu wanaonesha hisia zao wanamsifu Rais wao we kinakuudhi nini? Huko ni kuwaziba midomo. Mi nimefurahi mpk sn kusikia watanzania ni waelewa sana, Mungu ibariki nchi yetuwatanzania bwana!! sasa hiyo boti ndio ya kumsifia Rais kweli!!
We ndio mpumbavu, kinachokuwasha ni nini. We bwege km unaumia kameze wembe.Nchi ikiwa na wajinga wengi ni tatizo
Umeumia siyo? Ndio msimamo wa watanzania ushindi ni zaidi ya 90%Duh mama tena! Mitano tena! Haya nayo ni maoni😂
Huyu dada auawe🤣Wakazi wa maeneo ya Ipogolo Kitwiru na mengine ya karibu mjini Iringa wamekusanyika katika eneo la Eso mjini Iringa kushuhudia boti ya uokoaji inayoelekea ziwa Victoria jijini Mwanza huku wakisifu juhudi za Serikali ya awamu ya sita katika kuboresha maisha ya watu wake
Soma Pia:Boti inayosafirishwa kutoka Mtwara kwenda Mwanza ni Kero barabarani. Waichinje wasafirishe Vipande
Souce: ITV