Boti ya Uokoaji yafika Iringa, Wananchi wakusanyika kushuhudia

Yameanza kampeni kabla ya wakati wake.....sasa boti nayo ni ya kuishangaa..

Boti ya mita 29 length ina uajabu gani..

Siasa hii...... route ya mtwara_Mwanza siku 30!...
Kule mwanza kuna meli mpya kubwa inajengwa leo ishindikane ku-assemble kaboti tu.
 
watanzania bwana!! sasa hiyo boti ndio ya kumsifia Rais kweli!!
Unawapangia? Nguruwe pori kweli, watanzania ni waelewa sana huwezi kuwatoa kwenye reli watu wanaonesha hisia zao wanamsifu Rais wao we kinakuudhi nini? Huko ni kuwaziba midomo. Mi nimefurahi mpk sn kusikia watanzania ni waelewa sana, Mungu ibariki nchi yetu
 
Kwa hiyo wajiandae kushuka kitonga .....

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…