Mkaldayo usipovuta unatema madini sanaBotswana na Namibia wana unafuu wa maisha kwasababu wamedhibiti rushwa na ufisadi. Wee fikiria kama CCM isingekuwa inaiba tungesave zaidi ya trillion 50 kwa mwaka. Tungelipa na kupunguza deni la taifa na kuwekeza kwenye maendeleo. Ni ufisadi rushwa na utawala mbovu tu ndo chanzo cha nchi nyingi kuwa maskini.
Mwanza sio nchi, na kama ingekuwa nchi isingekuwa kama ilivyo sasa tena kabla ya kuunda geita kuwa mkoa maana madini ya geita yangewanufaisha. Kuhusu Zanzibar hawana resources yoyote zaidi ya uvuvi.Mbona mwanza au zanzibar haziwi kama Botswana?
Ni nchi kubwa kieneo lakini sehemu wanakoishi watu ni sehemu ndogo. Umeshawahi kufika Botswana kwanza ili tuongee ukiwa na ufahamu.Na mapato ya watu watatu na mapato ya watu kumi nani zaidi?. Wanauongozi ulio Bora kubali kataa. Boda adi boda kazungula to martin drift karibu kilometa 800 ni nchi dogo hiyo?.
Mtandao tu wa miundombinu ya barabara ni mzigo mkubwa. Kuunganisha mikoa kwa barabara inafikiri ni jambo dogoNa kwanini Tanzania imezidiwa?
Zanzibar hakuna utalii? Au yenyewe si resource?Mwanza sio nchi, na kama ingekuwa nchi isingekuwa kama ilivyo sasa tena kabla ya kuunda geita kuwa mkoa maana madini ya geita yangewanufaisha. Kuhusu Zanzibar hawana resources yoyote zaidi ya uvuvi.
Du! Zanzibar licha ya utalii resources hakuna kule labda tangawizi.Zanzibar hakuna utalii? Au yenyewe si resource?
Hapana mkuu, hata Kenyatta alioa Mzungu. Hao jamaa wanamind there own business. Sio Nyerere badala ya kuendeleza nchi akachukua hela za maendeleo na kwenda kupiganisha mavita ya uhuru kila mahali mikataba. Matokeo tumebaki kuimba mtakatifu Nyerere wakati mtanzania anaonekana choo tu hapo South AfricaSiri ni hii hapa,
View attachment 2961469
Kwa kifupi hawawezi kumuumiza shemeji yao... Dada yao atapata shida... Maana dada mtu alikolea sana kwa jamaa,, na alikuwa yupo teyari kwa lolote.... Wakaona isiwe tabu....
Nani kakudanganya Tz kuna rasilimali za kuunga unga!?Botswana sio ndogo kama unavyojidanganya labda kama unamanisha arable land.
Kule kwenye Jangwa la Okavango kuna Hifadhi Maarufu za Wanyamapori.
Wao ni wachache sana,Wana Mali ya uhakika yaani Diamond plus good resource management.
Tzn tuna Mali za kuunga unga na mbaya zaidi tuna mismanagement sana.
Mnanichanganya, mwingine anasema uvuviDu! Zanzibar licha ya utalii resources hakuna kule labda tangawizi.
Mfano mradi wa SGR kama ukisimamiwa ipasavyo ni faida kubwa sana serikali itapata.Nitajie mradi mkubwa wenye faida ukiacha bwawa sio hizi taarabu zako.
Kuna jamaa yangu aliniambia kuna pisi kali hatari botswana yaan watoto wakali harari je ni kweli mkuu ????Maana utaliii wa mbususu unafaa nikaufanyeJamaa yaani asilimia hamsini ya dhahabu inaingia kwenye bajeti. Wana kaampuni moja ndio ina deal na dhahabu na wamegawana 50:50, ila hamsini yao yote inaingia kwenye dhahabu.
Swala la wafanyakazi, lipo kimtaa, yaani mtaa ndio una present wafanyakazi husika hivo hamna upigaji.
Wana watchdog Institute yao hiyo ipo international, huibi hata sukari utajikuta ndani. Yaani hakuna rushwa hakuna wizi wa pesa za wanachi, kila kitu kimenyooka.
Plus idadi ya wananchi wao ni rahisi sana kucontrol, hawako scattered sana, everything is centred.
Ila sasa ukimwi mamamaqe. Ukimwi botswana kama unavyokutana na gari aina ya IST bongo.
Ili sisi tuweze kama botswana, inabidi Nchi izime week nzima. Mipango yote iwe centred.
Mbilingi, mbambambaa, mbelekenye , maneno yasiwe mengi.
Alafu Inakuja institute kutoka nje ndio iwe watchdog wa wizi.
Ila pia tuwe na uhakika wa utokaji wa bidhaa zetu haswa petroli, Gas, hela ya utalii, ila hili pia litafanya tusiwe naa uhuru mkubwa sana kama tulionao. Tutapata sana magonjwa kama ukimwi maaana tutakua centred.
Na kuna mengi sana itabidi yafanyike. Of which kwa wingi wetu nadhani tutalia.
TrueWelcome to Botswana 🇧🇼
In Botswana, citizens get free land, free healthcare, and free education.
University students receive $154 in allowances monthly.
It has low debt.
It has Africa's best Police service.
It is an upper-middle-income country.
It has Africa's highest credit rating.
It is one of the safest countries in Africa.
Citizens have visa-free access or visa-on-arrival status to 87 countries including the UK.
View attachment 2961420
Tembo wao mpaka uwakorofishe ndio watakudhuru...Tembo wakali na hawa wanaopatikana Tanzania
Kawaida tu, kama njombeNa
Kuna jamaa yangu aliniambia kuna pisi kali hatari botswana yaan watoto wakali harari je ni kweli mkuu ????Maana utaliii wa mbususu unafaa nikaufanye
Lazima atokee mwenye ujasiri wa kutenda hilo, tatizo utapigwa kajini ujifie mapema sana.Mimi siku nikiwa kiongozi wa nchi hii ningewatumia Wakaguzi vizuri! Ningewa remunerate vizuri sana kuliko rates za perdiem kisha ningewaasa wawe waadilifu na wafanye ukaguzi wa kweli na wa haki.
Kisha ningetumia matokeo ya ukaguzi kupeleka wabadhirifu kwenye mahakama ya wahujumu uchumi. Nisingewatumbua tu! Ninatumbua kisha ninawasweka ndani. Ningefanya hivi kwa miaka mitatu mfululizo...kuanzia kwa Wahasibu, MaDED wa Halmashauri, Wakandarasi na Watekelezaji wa Miradi ya Maji na Barabara, Watendaji Wakuu, Makatibu Wakuu na Mawaziri Wabadhirifu ningekula nao sahani moja.
Kiasi mtu akiteuliwa anaacha kushangilia na anaingiwa na hofu katika kutekeleza majukumu yao.
Sasa hivi unatumbuliwa hapa unawekwa pale. Refer Dr. Edwin Mhede
Ikija kuleta faida nitakula mavi yakoMfano mradi wa SGR kama ukisimamiwa ipasavyo ni faida kubwa sana serikali itapata.
Tzn Ina Rasilimali za kuunga unga ndio maana huwezi ona serious investors wakiweka pesaNani kakudanganya Tz kuna rasilimali za kuunga unga!?
Una gesi Mtwara nyingi sana,una uranium za kutosha,una dhahabu,Morogoro una kila aina ya gemstone.
Una vyanzo vya mapato ya utalii kama vyote mbuga kubwa Afrika,mlima mrefu Afrika n.k n.k
Tanzania kuna kipindi iliwahi kujadiliwa na France24 English kama THE SLEEPING GIANT.
Tanzania mna rasilimali za kutosha kuwatajirisha zaidi ya Botswana.
Ila shida ni siasa za uchumia tumbo na ulafi wa madaraka.
Acheni kutufanya watoto bhana.
Sera mbovu za CCM ndizo zimetufikisha hapa.