Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

Ubinafsi, umimi, ndio umetufikisha hapa, mtanzania akili yake ni kuiba tu, tena hatosheki, atajenga mahekalu kana kwamba ataishi milele, akachukuwa fedha ananunua nyumba ughaibuni, kana haitoshi ananunua majumba, dubai, Marekani, Australia, kana haitoshi anaanza kuyaficha Mahela kwenye mabenki, Allah atupatie hekima, kwa Sisi tuliyoibeba imani ya kidini tunacheka tu,mda wetu ni mfupi mno hapa duniani pamoja na vizazi vyetu, kwani baada ya muda mfupi hata makaburi yetu hayata julikana tulipozikiwa, tunasema tumenyimwa vyeo ili tupunguziwe mzigo wa maswali huko akhera.
Inshaallah, Ufunuo, Tumepewa nafasi tuutumikie umma kwa dhati ya Allah, umma utabasamu umma ucheke, umma, kicheko cha umma ndiyo faradhi zenu.
 
Welcome to Botswana 🇧🇼

In Botswana, citizens get free land, free healthcare, and free education.

University students receive $154 in allowances monthly.

It has low debt.

It has Africa's best Police service.

It is an upper-middle-income country.

It has Africa's highest credit rating.

It is one of the safest countries in Africa.

Citizens have visa-free access or visa-on-arrival status to 87 countries including the UK.

View attachment 2961420
"Everything rises and falls under the leadership" - Dr. John C. Maxwell
 
Ningejua km izo Kama sijafika. Udogo wa watu au wingi wa watu hauna maana kimantiki. Sawa ni watu wadogo na wachache na kubali. Kwahiyo unaona wingi wa watanzania ndiyo kunafanya tuwe tulivyo? Kwa china tunaingia Mara ngapi kwa wingi? China ina watu billion Moja na milioni mia mbili. Basi ndiyo wangekua masikini zaidi duniani Kama kuwa wengi ni kuwa masikini na udogo wa watu ndiyo kuwa na uwezo. Narudia kubali kataa Uongozi Bora wenye maono na uzalendo wa kweli ndiyo chimbuko la maendeleo kwa nchi zote duniani.
Mtanzania ni mwizi
 
Nani anajua HIV/AIDS level ya BOTSWANA kulinganisha na mataifa mengine ya AFRICA?
Nnani anajua UHUSIKA WA USA kwa Botswana kulinganisha na mataifa mengine ya AFRIKA???

Kuna wakati tufikiri mbele na mbali zaidi ,

Na si mara zote tujione wajinga na wazembe..........

Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuku wa kisasa na kuku wa kienyeji....... mmoja anajitafutia chakula na mwingine analetewa mezani ....... ndani ya wiki tatu tu ameshapevuka.....!

Kulinganisha KUKU WA KIENYEJI NA KUKU WA KIZUNGU tuangalie factors nyingi sana
 
Welcome to Botswana 🇧🇼

In Botswana, citizens get free land, free healthcare, and free education.

University students receive $154 in allowances monthly.

It has low debt.

It has Africa's best Police service.

It is an upper-middle-income country.

It has Africa's highest credit rating.

It is one of the safest countries in Africa.

Citizens have visa-free access or visa-on-arrival status to 87 countries including the UK.

View attachment 2961420
Na kumbuka wabongo wengi ndio wafanyakazi sekta ya Afya
 
Mtanzania ni mwizi
Kama mtanzania ni mwizi(na unadai tanzania mali ni zakuunga unga vipi siwangewekeza kitita kwenye hizi secta kuliko kufaidisha makampuni yakigeni?).
Screenshot_20240412-205932.jpg
 
Welcome to Botswana 🇧🇼

In Botswana, citizens get free land, free healthcare, and free education.

University students receive $154 in allowances monthly.

It has low debt.

It has Africa's best Police service.

It is an upper-middle-income country.

It has Africa's highest credit rating.

It is one of the safest countries in Africa.

Citizens have visa-free access or visa-on-arrival status to 87 countries including the UK.

View attachment 2961420

Pia kwanini tusirudi mezani na kuhakikisha tunapata share ya 50+1% sababu sisi ndo wamiliki wa raslimali?

Na hiyo 50+1% Inatakiwa tupewe in terms of Gold iliyozalishwa Kwa ubora wa juu katika gold bars(vitofali).

Umetoa hoja nzuri inayotakiwa kufanyiwa kazi haraka Tanzania katika sekta ya madini pia ufugaji wa mifugo bora kuchagia uchumi kama nchi ya Botswana.


Sekta ya Madini Botswana

JIBU LA KUWEZESHA NCHI KUWA NA AKIBA YA DHAHABU, MADINI NA VITO LAPATIKANA

1 July 2023
Gaborone, Botswana

1713014921701.png


Nchi ya Botswana imepata jibu kuwa mfano Tanzania mkataba wa mgodi na mwekezaji wagawane vitofali vya dhahabu na serikali badala ya kusubiri faida ya kwenye balance sheet.

Mgawanyo wa vitofali au almasi au tanzanite inaipa uhuru Tanzania kuhifadhi kitu halisi na kukiuza kwa thamani ya uhakika bila makando kando ya kusubiri mwekezaji asafirishe madini yote nje na mwisho wa siku akuambie faida ni ndogo kama ripoti yake ya katika mahesabu ya mwaka yanavyoonesha .

1 July 2023
Gaborone, Botswana,

Botswana na De Beers Zasaini Mkataba wa Kuendeleza Ushirikiano Tajiri wa Almasi

Chini ya makubaliano mapya ya uchimbaji madini, Botswana itapata mara moja asilimia 30 ya mawe machafu (almasi ambayo bado kuchongwa) yaliyochimbwa, kutoka asilimia 25, na itapanda hadi asilimia 50 ndani ya muongo mmoja, De Beers na maafisa wa serikali walisema.

Afisa wa serikali ya Botswana na mtendaji mkuu wa De Beers, muungano wa kimataifa wa almasi, walitia saini mikataba ya muda siku ya Jumamosi ili kuendeleza ubia wenye faida, wa miongo kadhaa wa uchimbaji madini ya almasi ambao ulionekana kuvunjika katika miezi ya hivi karibuni.

Dakika chache kabla ya tarehe ya mwisho ya usiku wa manane siku ya Ijumaa, pande zote zilitangaza kwamba baada ya mazungumzo ya miaka mingi, walikuwa wamekubaliana kimsingi juu ya mpango wa kuunda upya ushirikiano ambao unaipatia De Beers sehemu kubwa ya almasi yake na serikali ya Botswana sehemu kubwa zaidi ya mapato yake.

Maelezo ya mpango huo bado yanashughulikiwa, maafisa wa serikali na De Beers walisema. Lakini inashughulikia moja ya matatizo makubwa ya serikali ya Botswana, kuhusu mgao wa almasi ambayo inapokea katika ubia wake wa uchimbaji madini na De Beers.

Chini ya makubaliano ya zamani, Botswana ilipokea asilimia 25 ya mawe machafu yaliyochimbwa, huku De Beers ilichukua mengine. Sasa, Botswana itapata mgao wa asilimia 30 mara moja, na hiyo itapanda hadi asilimia 50 ndani ya muongo mmoja, De Beers na maafisa wa serikali walisema.

De Beers alisema katika taarifa yake kwamba imekubali kuwekeza kiasi cha dola milioni 825 katika kipindi cha miaka 10 ijayo kusaidia kuendeleza uchumi wa Botswana. Makubaliano hayo pia yanajumuisha kuanzisha chuo nchini Botswana ambacho kitafundisha wenyeji ujuzi katika biashara ya almasi, maafisa wa serikali walisema

Source : The New York Times
 
Sekta ya Mifugo na Nyama Botswana

Pamoja na nyama ya buchani inayohitimu gredi ya kimataifa pia nchini Botswana na nchi za kusini mwa Afrika ukienda madukani kwa 'Mangi' au 'Mpemba' hadi supermarket utakutana na nyama zilizokaushwa na kuuzwa ktk vifungashio
1713015598404.png

Utamadumi wa Tanzania kutaka kila kitu fresh husababisha mazao kama nyama, samaki, matunda, mboga za majani, nyanya, maembe, mananasi n.k kuoza na kutupwa badala ya kuwepo pia mchakato wa mazao ya kilimo na mifugo kukaushwa vizuri na kuunda soko pia ajira kutokana na mazao ya kukaushwa.

OVERVIEW OF THE BOTSWANA BEEF SECTOR

Botswana's beef production is a traditional and skilled industry, accounting for 80% of agriculture exports.


meat-2.jpg


biltong.jpg

Beef biltong made from the world class beef.

1713015923701.png

Corned beef

Botswana Beef​

The people of Botswana and the cattle population have been inextricably linked for hundreds of years and cattle, whether they are bred for milk or beef, form part of the fabric of everyday life for the Batswana people of this Southern Africa landlocked country. Botswana‘s environment rages from fertile floodplain deltas to areas of fragile eco–systems with fluctuating rainfall, which ensures hardy, nutritious grassland interspersed with low bush referred to as the veld–the home of Botswana's cattle breeding herd.
The raising of cattle touches almost all of the population, with cattle outnumbering people by two to one. Urban dwellers and rural communities alike have some involvement and contact on a daily basis with cattle grazing on the veld.

Breeds and Genetics have been updated and selected, selected to produce beef that has unique flavour and textures and a delicious taste based on natural grassland production systems. Cattle production sits alongside and in some cases amidst diverse wildlife populations, which encompasses Africa‘s largest to its smallest species.
The balance between conservation of wildlife, a valuable resource for tourism, and the needs of the commercial cattle industry is a complex one, with all sectors cooperating to ensure viability and benefit for each of the sectors. Division of the country into regions or, couple with surveillance measures and monitoring of herds with strict controls on livestock movement give access into markets seeking the highest animal health requirements.


meat-5.jpg


Botswana is a leader in cattle identification and traceability with cattle implanted rumen boluses, which unique electronic radio frequency devices which are scanned to provide animal history back to the National Data Base. This ensures consumer confidence based on world’s based practice. From the .unique number of each carton, we are able to trace the meat back to the specific farm. BMC products are Halaal as supervised certified by the Botswana Muslim Association.
The Botswana cattle industry uses free range and natural farming methods, which ensure full – flavoured, lean beef of highest quality. Botswana ‘s land and its sub- tropical and semi-arid climate is ideally suited for cattle farming . The country boasts of between 2.5 to 2.8 million head of cattle.

Source : Botswana Beef
 
Back
Top Bottom