ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Nyie si ndio miccm isiyoshiba, mnakula bila kubakisha, hamjui kuna watu wengi wanahitaji kupata huduma muhimu za kiuchumi na kijamii.Uzalendo hauletwi na nyie magenge ya majizi
Siku ccm itupiliwe mbali kabisa, lije kundi maalumu la kuleta uzalendo katoka nchi ili tuanze upya.
CCM ni kundi dogo sana lina watu wachache sana ila ni walafi na wanaimaliza nchi.
Nitolee uchawa wako hapa.

