Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

ccm wametuchelewesha sana kwenye maendeleo wako ki-analoque
 
Siri ni hii hapa,


Kwa kifupi hawawezi kumuumiza shemeji yao... Dada yao atapata shida... Maana dada mtu alikolea sana kwa jamaa,, na alikuwa yupo teyari kwa lolote.... Wakaona isiwe tabu....
 
Not good resources management!
-Botswana Watu ni wachache na kipande Chao cha ardhi ni kidogo pia!
-Tanzania watu wengi, ardhi kubwa na resources nyingi zaidi
Botswana siyo ndogo. Imeizidi Zimbabwe kwa ukubwa, inakaribia kulingana na zambia, Rwanda inaingia karibu mara ishirini kwa Botswana. Uganda ni mara mbili kwa ukubwa na Botswana.

Wana Tembo wengi hadi imekuwa kero wanataka kuwapunguza kwa kuwaua hadi wanaharakati wamewajia ulaya wamewajia juu. Majuzi wamewapa Angola Tembo 8000 na msumbiji Tembo mia 5.
 
Botswana na Namibia wana unafuu wa maisha kwasababu wamedhibiti rushwa na ufisadi. Wee fikiria kama CCM isingekuwa inaiba tungesave zaidi ya trillion 50 kwa mwaka. Tungelipa na kupunguza deni la taifa na kuwekeza kwenye maendeleo. Ni ufisadi rushwa na utawala mbovu tu ndo chanzo cha nchi nyingi kuwa maskini.
 
Ila watu 2.5mln only with abundant resources
Kwani wakati Tanganyika inapata Uhuru ilikuwa na watu wangapi na rasilimali kiasi gani mbona haikukua kiuchumi. Je sasa hivi kuna watu kiasi gani na rasilimali ni kiasi gani. Siku Watanganyika wakiacha porojo na siasa za kushibisha matumbo yao ndipo maendeleo ya kweli yatafikiwa na kuonekana.
 
Nyie mmekalia wizi tu hao wako Transparency kwenye utawala wao
 
kwanza kabisa hakuna uislamu na waislamu hivyo inapunguza anasa kama tuishudiayo tanzagiza, pili inahusiana na ya kwanza Botswana kama Namibia inafwata Christian (western) economic system ambapo love thy neighbor ndiyo msingi wa maisha na ndiyo maana wanasaidia wasio na uwezo, tanzagiza wanakejeliwa na wenye power …
 
Mkitulia amkaacha tamaa za mali ili kunufaika pamoja, angalia watu wa awali tu kupata uongozi walionyesha ubinafsi kuanza kupeleka miradi kwao ..Katu hakuna ushindi .

Kumbuka : Umaskini ni wa kutengenezwa , Gaddaf alianza hivyo mkamleta zengwe wapo wajibga wanamchukia bila ya sababu .
 
 
Zaidi ya watu mil.11 .Kwani Botswana imepiga hatua lini si ni recently tuu baada ya kupata wawekezaji seriously kwenye Mali zao kuu almasi.

Watanzania tuko zaidi ya 65mln , Rasilimali za Tzn ni za kuunga unga
 
Nilienda nikaingia hozpitali ya jeshi kasane nikapata huduma ya afya kutoka kwa kamanda na akanipa dawa za kutosha nilikuwa nasumbuliwa na mafua makali nikapewa hadi vidonge vya vitamin c , bureee nikachapa lapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…