ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Botswana sio ndogo kama unavyojidanganya labda kama unamanisha arable land.Not good resources management!
-Botswana Watu ni wachache na kipande Chao cha ardhi ni kidogo pia!
-Tanzania watu wengi, ardhi kubwa na resources nyingi zaidi
Hao siyo wajinga kama sisi.Welcome to Botswana 🇧🇼
In Botswana, citizens get free land, free healthcare, and free education.
University students receive $154 in allowances monthly.
It has low debt.
It has Africa's best Police service.
It is an upper-middle-income country.
It has Africa's highest credit rating.
It is one of the safest countries in Africa.
Citizens have visa-free access or visa-on-arrival status to 87 countries including the UK.
View attachment 2961420
Be serious bwana. Hata marehem Jiwe mwenyewe aliwahi kusema lazima ktk utawala wake tuwe dona country sababu tuna kila kiltu. Halafu wewe Unasema kuna rasilimali chache? Ebu taja kilichopo Botswana ambacho Tz halipo, halafu mimi nikutajie vilivyopo Tz ambavyo Botswana hakuna.Zaidi ya watu mil.11 .Kwani Botswana imepiga hatua lini si ni recently tuu baada ya kupata wawekezaji seriously kwenye Mali zao kuu almasi.
Watanzania tuko zaidi ya 65mln , Rasilimali za Tzn ni za kuunga unga
Kuna mtu hana mdomo Nchi hii? Miaka 5 alifanya lipi Ili tuwe donor country? Au ni hayo mamiradi yanayoleta hasara?Be serious bwana. Hata marehem Jiwe mwenyewe aliwahi kusema lazima ktk utawala wake tuwe dona country sababu tuna kila kiltu. Halafu wewe Unasema kuna rasilimali chache? Ebu taja kilichopo Botswana ambacho Tz halipo, halafu mimi nikutajie vilivyopo Tz ambavyo Botswana hakuna.
Hujahisi, ni sahihi. Nyongeza ya hivyo ni pamoja na siasa za maji taka zilizojaa ghiliba.Utawala bora, uhadirifu na matumizi bora ya resouces za nchi kwaajiri ya manufaa ya wananchi. Nahisi sisi tanzania hvyo vyote hatuna
NB:zingatia neno "nahisi"
Uislamu unachangia vip kudidimiza maendeleo?kwanza kabisa hakuna uislamu na waislamu hivyo inapunguza anasa kama tuishudiayo tanzagiza, pili inahusiana na ya kwanza Botswana kama Namibia inafwata Christian (western) economic system ambapo love thy neighbor ndiyo msingi wa Marsha na ndiyo maana wanasaidia wasio na uwezo, tanzagiza wanakejeliwa na wenye power …
Unaposema Rwanda Ina limited resources una maanisha nini labda wakati ni Moja ya wauzaji Wakuu wa Dhahabu na Tin hapa Afrika?Rwanda ingekuwa kama Botswana chini ya Kagame ingekuwa kama Taiwan. Kagame licha ya ukatili wake anaweza kufanya Rwanda kuwa na unafuu licha ya limited resources. Angalia tu kama kwenye utalii yani sokwe mountain gorilla wachache amefanya utalii wa hatarii huku kwetu Tanapa wanaiba balaa.
Uislamu unachangia vip kudidimiza maendeleo?
Mbona Burundi Ina watu wachache lakini ni shida.Ila watu 2.5mln only with abundant resources
Ngoja sisi tuendeleze uchawa mpaka mwisho.Welcome to Botswana 🇧🇼
In Botswana, citizens get free land, free healthcare, and free education.
University students receive $154 in allowances monthly.
It has low debt.
It has Africa's best Police service.
It is an upper-middle-income country.
It has Africa's highest credit rating.
It is one of the safest countries in Africa.
Citizens have visa-free access or visa-on-arrival status to 87 countries including the UK.
View attachment 2961420
Tz kusingekua na majizi ya mali za uma na machawa , kiuchumi hata kenya isingetupata.Unaposema Rwanda Ina limited resources una maanisha nini labda wakati ni Moja ya wauzaji Wakuu wa Dhahabu na Tin hapa Afrika?
Acha kuzingua labda useme unalinganisha na nani?
Hakuna Kisingizio Kwa huyo Kagame wako,ni aibu Kanchi kama kale kuwa maskini.
Duniani kote Nchi ndogo ndio zinakuwa na Ustawi wa Maisha kuliko Nchi kubwa na Zenye watu wengi kama Tanzania.
Botswana Total AREANot good resources management!
-Botswana Watu ni wachache na kipande Chao cha ardhi ni kidogo pia!
-Tanzania watu wengi, ardhi kubwa na resources nyingi zaidi
Shida ya Burundi Iko wazi hakuna usalama na utulivu wa Kisiasa sawa na DRC , so Bado nao wanajitafuta.Rwanda Wana uhakika wa usalama na utulivu wa Kisiasa.Mbona Burundi Ina watu wachache lakini ni shida.