Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

Not good resources management!
-Botswana Watu ni wachache na kipande Chao cha ardhi ni kidogo pia!
-Tanzania watu wengi, ardhi kubwa na resources nyingi zaidi
Botswana sio ndogo kama unavyojidanganya labda kama unamanisha arable land.

Kule kwenye Jangwa la Okavango kuna Hifadhi Maarufu za Wanyamapori.

Wao ni wachache sana,Wana Mali ya uhakika yaani Diamond plus good resource management.

Tzn tuna Mali za kuunga unga na mbaya zaidi tuna mismanagement sana.
 
Welcome to Botswana 🇧🇼

In Botswana, citizens get free land, free healthcare, and free education.

University students receive $154 in allowances monthly.

It has low debt.

It has Africa's best Police service.

It is an upper-middle-income country.

It has Africa's highest credit rating.

It is one of the safest countries in Africa.

Citizens have visa-free access or visa-on-arrival status to 87 countries including the UK.

View attachment 2961420
Hao siyo wajinga kama sisi.
 
Zaidi ya watu mil.11 .Kwani Botswana imepiga hatua lini si ni recently tuu baada ya kupata wawekezaji seriously kwenye Mali zao kuu almasi.

Watanzania tuko zaidi ya 65mln , Rasilimali za Tzn ni za kuunga unga
Be serious bwana. Hata marehem Jiwe mwenyewe aliwahi kusema lazima ktk utawala wake tuwe dona country sababu tuna kila kiltu. Halafu wewe Unasema kuna rasilimali chache? Ebu taja kilichopo Botswana ambacho Tz halipo, halafu mimi nikutajie vilivyopo Tz ambavyo Botswana hakuna.
 
Rwanda ingekuwa kama Botswana chini ya Kagame ingekuwa kama Taiwan. Kagame licha ya ukatili wake anaweza kufanya Rwanda kuwa na unafuu licha ya limited resources. Angalia tu kama kwenye utalii yani sokwe mountain gorilla wachache amefanya utalii wa hatarii huku kwetu Tanapa wanaiba balaa.
 
Kuna mtu hana mdomo Nchi hii? Miaka 5 alifanya lipi Ili tuwe donor country? Au ni hayo mamiradi yanayoleta hasara?
 
kwanza kabisa hakuna uislamu na waislamu hivyo inapunguza anasa kama tuishudiayo tanzagiza, pili inahusiana na ya kwanza Botswana kama Namibia inafwata Christian (western) economic system ambapo love thy neighbor ndiyo msingi wa Marsha na ndiyo maana wanasaidia wasio na uwezo, tanzagiza wanakejeliwa na wenye power …
Uislamu unachangia vip kudidimiza maendeleo?
 
Rwanda ingekuwa kama Botswana chini ya Kagame ingekuwa kama Taiwan. Kagame licha ya ukatili wake anaweza kufanya Rwanda kuwa na unafuu licha ya limited resources. Angalia tu kama kwenye utalii yani sokwe mountain gorilla wachache amefanya utalii wa hatarii huku kwetu Tanapa wanaiba balaa.
Unaposema Rwanda Ina limited resources una maanisha nini labda wakati ni Moja ya wauzaji Wakuu wa Dhahabu na Tin hapa Afrika?

Acha kuzingua labda useme unalinganisha na nani?

Hakuna Kisingizio Kwa huyo Kagame wako,ni aibu Kanchi kama kale kuwa maskini.

Duniani kote Nchi ndogo ndio zinakuwa na Ustawi wa Maisha kuliko Nchi kubwa na Zenye watu wengi kama Tanzania.
 
Welcome to Botswana 🇧🇼

In Botswana, citizens get free land, free healthcare, and free education.

University students receive $154 in allowances monthly.

It has low debt.

It has Africa's best Police service.

It is an upper-middle-income country.

It has Africa's highest credit rating.

It is one of the safest countries in Africa.

Citizens have visa-free access or visa-on-arrival status to 87 countries including the UK.

View attachment 2961420
Ngoja sisi tuendeleze uchawa mpaka mwisho.
 
Unaposema Rwanda Ina limited resources una maanisha nini labda wakati ni Moja ya wauzaji Wakuu wa Dhahabu na Tin hapa Afrika?

Acha kuzingua labda useme unalinganisha na nani?

Hakuna Kisingizio Kwa huyo Kagame wako,ni aibu Kanchi kama kale kuwa maskini.

Duniani kote Nchi ndogo ndio zinakuwa na Ustawi wa Maisha kuliko Nchi kubwa na Zenye watu wengi kama Tanzania.
Tz kusingekua na majizi ya mali za uma na machawa , kiuchumi hata kenya isingetupata.
 
Kujali utu na kuacha kufikiria maslahi binafsi na kikubwa kumuogopa muumba mwenye dunia yake kwa kuwatendea haki kila mmoja miongoni mwenu mnaostahiki kupata mema yote ya nchi yenu.
N.b:
Utaiba na kujilimbikizia pesa na mali nyingi ukiwaacha wengine wakiteseka lakini baada ya muda mfupi hivyo ulivyojilimbikizia utaviacha na havitokusaidia chochote huko unapokwenda.
 
Mbona Burundi Ina watu wachache lakini ni shida.
Shida ya Burundi Iko wazi hakuna usalama na utulivu wa Kisiasa sawa na DRC , so Bado nao wanajitafuta.Rwanda Wana uhakika wa usalama na utulivu wa Kisiasa.

Wakisettle Kisiasa Burundi Ina nafasi kubwa ya kuendelea kuzidi hata Rwanda maana wanasema Ina Ardhi nzuri ya Kilimo,Madini na beaches.
 
Back
Top Bottom