Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

Botswana yenye karibia sq kilometre 582,000 zaidi ya nusu ya Tz Ina kabila Moja tu,akili zao,matamanio Yao,Kila Moja wao apate .Kwao kiongozi wa taifa ni kama Chifu,na taifa lao ni kama Jimbo.Kwao hakuna mfalme Jeta wa kusadikika.Shaban Robert.
 
Aah Tanzania yangu......🙄
 
Na hakuna chama tawala chenye usela mavi na wizi kama hapa kwetu

Hapa kwetu viongozi waandamizi wa chama tawala wanajisifu kuzaliwa ocean road. Je wangezaliwa Queens - New York?
Wewe ndio una tafsiri kuwa Queens-NY ni bora kuliko OR hosp,kuna chama cha upinzani cha majizi ya magari kinajisifia wakati kinaibia watu pesa za join the chain
 
Unadhani kuhudumia familia ya watu watatu na watu 10 ni sawa! Ukienda Botswana kamji kazina unakazunguka ndani ya muda mfupi tu umekamaliza kama kuzunguka Ilemela na Nyamagana.
Na mapato ya watu watatu na mapato ya watu kumi nani zaidi?. Wanauongozi ulio Bora kubali kataa. Boda adi boda kazungula to martin drift karibu kilometa 800 ni nchi dogo hiyo?.
 
Kabisa mkuu. Lazima tukubali uongozi Bora wenye maono na uzalendo katika rasilimali ndiyo chimbuko la maendeleo. Congo Ina rasilimali nyingi kuliko nchi nyingi za kiafrica lakini wapo kwenye tope la umaskini
 
Tembo wapo wengi hapo Kazungula mpakani na huko Nata mnapishana nao wengi ila hawana madhara sana mpaka uwasumbue wana Njia zao na wanapita au kuvuka bara bara ni masaa kadhaa..
 
Kuna tofauti kati ya kiongozi wa serikali kwenda ofisini akiwa na intention ya
1) kufanya kazi kwa manufaa yake na taifa- huyu atakuwa muadilifu
2) kufanya kazi kwa manufaa yake peke yake - huyu mchumia tumbo
 
Tzn hapa tuna shida za Kisiasa na vipaombele.

Sasa wewe Kwa akili Yako unategemea vipaombele dizaini ya Sgr,ndege na mastendi na masoko makubwa ndio yatawafanya muwe na Ustawi wa Maisha?

Huo ni ujinga wa Wanasiasa na kutojitambua.
Chawa wa samia ukiwa na utimamu wa akili kabla hujarudi kwenye default mode
 
Botswana ukimwi sio tatizo sababu ya uwepo wa ARVs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…