Jamaa yaani asilimia hamsini ya dhahabu inaingia kwenye bajeti. Wana kaampuni moja ndio ina deal na dhahabu na wamegawana 50:50, ila hamsini yao yote inaingia kwenye dhahabu.
Swala la wafanyakazi, lipo kimtaa, yaani mtaa ndio una present wafanyakazi husika hivo hamna upigaji.
Wana watchdog Institute yao hiyo ipo international, huibi hata sukari utajikuta ndani. Yaani hakuna rushwa hakuna wizi wa pesa za wanachi, kila kitu kimenyooka.
Plus idadi ya wananchi wao ni rahisi sana kucontrol, hawako scattered sana, everything is centred.
Ila sasa ukimwi mamamaqe. Ukimwi botswana kama unavyokutana na gari aina ya IST bongo.
Ili sisi tuweze kama botswana, inabidi Nchi izime week nzima. Mipango yote iwe centred.
Mbilingi, mbambambaa, mbelekenye , maneno yasiwe mengi.
Alafu Inakuja institute kutoka nje ndio iwe watchdog wa wizi.
Ila pia tuwe na uhakika wa utokaji wa bidhaa zetu haswa petroli, Gas, hela ya utalii, ila hili pia litafanya tusiwe naa uhuru mkubwa sana kama tulionao. Tutapata sana magonjwa kama ukimwi maaana tutakua centred.
Na kuna mengi sana itabidi yafanyike. Of which kwa wingi wetu nadhani tutalia.