Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

Botswana imefanyaje kufikia hatua hii?

Tz kusingekua na majizi ya mali za uma na machawa , kiuchumi hata kenye isingetupata.
Tzn hapa tuna shida za Kisiasa na vipaombele.

Sasa wewe Kwa akili Yako unategemea vipaombele dizaini ya Sgr,ndege na mastendi na masoko makubwa ndio yatawafanya muwe na Ustawi wa Maisha?

Huo ni ujinga wa Wanasiasa na kutojitambua.
 
Unaposema Rwanda Ina limited resources una maanisha nini labda wakati ni Moja ya wauzaji Wakuu wa Dhahabu na Tin hapa Afrika?

Acha kuzingua labda useme unalinganisha na nani?

Hakuna Kisingizio Kwa huyo Kagame wako,ni aibu Kanchi kama kale kuwa maskini.

Duniani kote Nchi ndogo ndio zinakuwa na Ustawi wa Maisha kuliko Nchi kubwa na Zenye watu wengi kama Tanzania.
Rwanda ana limited resources. Hana bandari, Hana ardhi, Hana madini, mazao machache etc.
 
Wabongo kuna watu wamejichagua wawe wanaiba chochote kinachoingia kwenye hazina
Yaani hawafiki hata 1m ila ndio kama familia ya majizi
Hakuna anaefungwa zaidi anapewa ndugu mwingine

Hatupo serious na maisha kabisa
Wenzetu mpaka Kenyans wameenda huko na kuanza Ranches za mifugo
Unapewa ardhi na unalindwa
24hrs patrol
Huwezi kuhamisha mifugo sehemu mpaka sehemu bila kuijulisha serikali ili upate kibali, hiyo ni kwa usalama wako na mifugo

Simu moja tu police wako na wewe hakuna cha ooh hatuna gari au tuwekee mafuta tuma hela kwenye Mpesa
 
Tzn hapa tuna shida za Kisiasa na vipaombele.

Sasa wewe Kwa akili Yako unategemea vipaombele dizaini ya Sgr,ndege na mastendi na masoko makubwa ndio yatawafanya muwe na Ustawi wa Maisha?

Huo ni ujinga wa Wanasiasa na kutojitambua.
Hizo standi na ndege zinanunuliwa kwa vijichenji baada ya watu kushibisha matumbo yao ,tatzo letu ni ubinafsi na kukosa uzalendo wa kweli linapokuja swala la tumbo.
 
Wanasias wao sio wabinafsi kama wa kwetu, wanajua kula na vipofu, sio haya majizi yetu yanakula mpaka yanagusa mikono yetu sie vipofu, tunajua kabisa hapa wanakula upande wetu, salama yao ni sisi pamoja na upofu wetu bado ni vilema wa mwili na akili. Tunajua wanafamya ndivyo sivyo na hatuma cha kuwafanya.
 
Si n
Watanganyika bwana vichwa maji kwelikweli. Huyo jamaa anaesema uislam unarudisha maendeleo nyuma mbona hatoi evidence. Km uislam ni adui wa maendeleo vipi nchi km Soud Arabia, vipi Morocco nk.
Ndio nashangaa ,ndio maana mimi huo naona walokole ni vichaa waliopata kibali cha kumiliki makanisa mda huu wangepaswa kuwa mirembe .
 
Welcome to Botswana 🇧🇼

In Botswana, citizens get free land, free healthcare, and free education.

University students receive $154 in allowances monthly.

It has low debt.

It has Africa's best Police service.

It is an upper-middle-income country.

It has Africa's highest credit rating.

It is one of the safest countries in Africa.

Citizens have visa-free access or visa-on-arrival status to 87 countries including the UK.

View attachment 2961420
Mwaka Jana nilikua huko 😊

+267
 
Sir Setetse Nkhama. I salute you.
Aliyekudanganya kwamba Rwanda Ina limited resources mwambie atunge uongo mwingine na excuses nyingine itakayomsaidia Kagame kuondoa aibu ya Kushindwa kukatoa hako Kanchi kwenye LDC

Mimi Huwa sio mtu wa story za kuambiwa 👇👇
Screenshot_20240412-130555.jpg
Screenshot_20240412-130457.jpg
 
Back
Top Bottom