Botswana na Namibia ni nchi tajiri zaidi barai Afrika, msikate tamaa tunaweza!

Botswana na Namibia ni nchi tajiri zaidi barai Afrika, msikate tamaa tunaweza!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
10,860
Reaction score
18,819
gdp per capital income, >95% black countries (ukiondoa visiwa kama Shelisheli na Mauritius) are the richest in afrika, na ilipaswa kuwa hivyo,

Botswana: 8,490 usd
Namibia: 5,570 usd

richer than
egypt, morocco, tunisia, algeria, libya, indonesia, iran, india, pakistan, vietnam plus Botswana (bila Namibia) is richer than thailand too, btw kwa mara ya kwanza ktk historia ya afrika mashariki uganda imetupita ingawaje hawana bandari wanategemea mombasa umbali wa 1000 km vs tanzagiza bandari inayotegemewa na nchi karibia 6 kwa nini haionekani kwenye uchumi? hawana (uganda) dhahabu wala makaa ya mawe, hivyo ni ushahdi tosha kwamba fedha za tanzagiza zinazotokana na bandari na rasilimali zinaibiwa kabla ya kuingizwa kwenye uchumi wa nchi ni kama tu dr kongo ...

Tanzania 1,360 usd
Uganda 1,470 usd
Kenya 2,700 usd
 
gdp per capital income, >95% black countries (ukiondoa vsiwa kama Shelishali na Mauritius) are the richest in afrika, na ilipaswa kuwa hivyo,

Botswana: 8,490 usd
Namibia: 5,570 usd

richer than
egypt, morocco, tunisia, algeria, libya, indonesia, iran, india, pakistan, vietnam plus Botswana (bila Namibia) is richer than thailand too, btw kwa mara ya kwanza ktk historia ya afrika mashariki uganda imetupita ingawaje hawana bandari wanategemea mombasa umbali wa 1000 km vs tanzagiza bandari inayotegemewa na nchi zaidi 6 kwa nini haionekani kwenye uchumi?, hawana dhahabu wala makaa ya mawe, hivyo ni ushahdi tosha kwamba fedha za tanzagiza zinazotokana na bandari na rasilimali zinaibiwa kabla ya kuingizwa kwenye uchumi wa nchi ni kama tu dr kongo ...

Tanzania 1,360 usd
Uganda 1,470 usd
Kenya 2,700 usd
Ahsante kwa taarifa. Ni kweli Uganda wanaelekea kutupita mwaka huu.
na Kenya wametupita mara mbili.

Hapo nikusahihishe kidogo kuhusu Uganda. Uganda imeipita Tanzania lakini sio mara ya kwanza.
Kwa miaka ya 60 na 70 kabla Idd Amin hajavuruga nchi Uganda iliipita Tanzania; tena kwa mbali.

1785916028008.png
 
View attachment 3643566

atleast miaka ya 60 na mpaka 70 naweza kuelewa kwa nini ug walitupita/walituzidi kwa maana uchumi wa uganda ulikuwa integrated fully na capitalistic economic system ya kenya, uganda ilikuwa ni kama tu sehemu ya uchumi wa kenya lkn miaka hii uganda kutupita ndiyo sielewi kwani ukiangalia uchumi wa uganda kwa sehemu kubwa bado unategemea kilimo hasa kahawa (ambapo sisi tulishatoka huko kwenye kutegemea kilimo) vs tanzagiza tuna dhahabu, makaa ya mawe mpaka almasi nafikiri kwa kiasi fulani plus tourism industry halafu tuna bandari ambayo inahudumia mpaka nchi 6 tena bandari tunazo 3 tanga, mtwara na dar bado kila ziwa lina bandari ziwa victoria kuna bandari na hata tanganyika lina bandari, kwa nini haionekani kwenye uchumi?

hapo hapo kuna infrasructure projects kubwa za kujenga sgr na bwawa la Nyerere contribution yake kwenye uchumi wa nchi iko wapi? kwa maana nchi nyingi infrastructure projects huchangia pato la taifa kwa kiasi kikubwa sana, hivyo conclusion yangu ni kwamba tanzagiza kila kitu kinaibiwa i.e sehemu kubwa ya uchumi wetu siyo rasmi, hawalipi kodi ni kama tu kongo drc ambapo rasilimali inachimbwa na kuuzwa nje lkn hakuna records kwenye uchumi wa kongo kwani wanaochukuwa na kuuza hizo rasilimali hawalipi kodi hiyo ndiyo tafsiri yangu ...
 
Ukizichunguza hizo nchi utakuta miongoni mwa raia wake kuna wazungu wengi hasa Namibia,wangekuwa wamatumbi pure yao wasingekuwa na status hiyo

kwa namibia hiyo ni kweli lkn kwa Botswana ni policy zilizowekwa na founding fathers wa nchi hiyo ya Botswana na walikuwa ni "wamatumbi" ndiyo zilizoinua Botswana hasa kwenye rasilimali za nchi kama almasi sasa hivi hata nimesikia serikali ya Botswana inataka kuinunua de Beers (de beers is the worlds largest diamond company) angalia sasa hiyo akili kubwa na mipango ya nchi vs tanzagiza migodi ya makaa ya mawe kwa mujibu wa H.Polepole (enzi za Polepole live) kapewa mtu binafsi Rostamu ...
 
gdp per capital income, >95% black countries (ukiondoa visiwa kama Shelisheli na Mauritius) are the richest in afrika, na ilipaswa kuwa hivyo,

Botswana: 8,490 usd
Namibia: 5,570 usd

richer than
egypt, morocco, tunisia, algeria, libya, indonesia, iran, india, pakistan, vietnam plus Botswana (bila Namibia) is richer than thailand too, btw kwa mara ya kwanza ktk historia ya afrika mashariki uganda imetupita ingawaje hawana bandari wanategemea mombasa umbali wa 1000 km vs tanzagiza bandari inayotegemewa na nchi karibia 6 kwa nini haionekani kwenye uchumi? hawana (uganda) dhahabu wala makaa ya mawe, hivyo ni ushahdi tosha kwamba fedha za tanzagiza zinazotokana na bandari na rasilimali zinaibiwa kabla ya kuingizwa kwenye uchumi wa nchi ni kama tu dr kongo ...

Tanzania 1,360 usd
Uganda 1,470 usd
Kenya 2,700 usd
Botswana

Namibia

Aee owned by GERMAMS.

Very few PEOPLE, and hwnce High GDP per Capita.

DESERTS.

Though, better use of their Natural resources.
 
Botswana uchumi wake ni madini na uuzaji wa nyama ya ng'ombe nje ya nchi, vyote hivyo Tanzania wanavyo na asilimia kubwa ya wataalamu ni raia wa Tanzania na wazungu waliokuwepo Tanganyika Pakers.
Walichotuzidi wenzetu ni kutumia rasilimali walizonazo kwa manufaa ya nchi na sio kwa manufaa ya viongozi kama hapa kwetu.
Tanganyika Pakers kiwanda kilifungwa sasa hivi ni ebeo la maombezi ikiwemo kwa watu wanaokosa ajira.
 
Kuna factor ya pato la nchi kugawanywa kwa idadi ya watu arbitrary

ila on the ground, nafikiri watanzania wana hali nzuri zaidi kuliko wakenya na waganda

siyo kweli, huyo ni uongo tuliolishwa tangia enzi zile ili ionekane kama mfumo wetu wa uchumi ni bora, na ushahidi wangu wa kwamba siyo kweli "on the ground" watanzagiza wanafanya vizuri uko hapa, masikini wa tanzagiza wanahamia kenya ukienda kenya sehemu kubwa ya omba omba mitaani wanatokea tanzagiza vs wakenya hakuna omba omba anayehamia tanzagiza kuja kuomba hivyo hakuna ushahidi mkubwa zaidi ya huo kwamba maisha ni magumu zaidi kwa masikini tanzagiza klk kenya.

pili ukiangalia wahamiaji wa pande zote mbili wakenya wanaokuja tanzagia wengi wanakuja kama experts na wengine kufanya biashara i.e wanakuja na mitaji vs watanzagiza wanaohamia kenya wanaenda kufanya biashara ndogo ndogo kama kuuza gengeni au mitumba nairobi kuna masoko ya mboga mboga yamejaa watanzania hivyo hiyo ina-debunk uongo tuliolishwa siku yote kwamba maisha ya mtanzagiza wa kawaida ni bora klk maisha ya mkenya wa kawaida ...
 
Botswana

Namibia

Aee owned by GERMAMS.

Very few PEOPLE, and hwnce High GDP per Capita.

DESERTS.

Though, better use of their Natural resources.

wajerumani hawana uhusiano wowote ule na Botswana, usichanganye historia ya Nambia na Botswana, namibia ni kweli ilikuwa ni koloni la Ujerumani so what hata sisi tulikuwa koloni la Ujerumani pia wakati fulani.

Botswana ni wenyewe tu walibarikiwa kupata viongozi wazuri na wenye maono walioweka maslahi ya nchi kwanza na siyo wizi na nepotism ...
 
siyo kweli, huyo ni uongo tuliolishwa tangia enzi zile ili ionekane kama mfumo wetu wa uchumi ni bora, na ushahidi wangu wa kwamba siyo kweli "on the ground" watanzagiza wanafanya vizuri uko hapa, masikini wa tanzagiza wanahamia kenya ukienda kenya sehemu kubwa ya omba omba mitaani wanatokea tanzagiza vs wakenya hakuna omba omba anayehamia tanzagiza kuja kuomba hivyo hakuna ushahidi mkubwa zaidi ya huo kwamba maisha ni magumu zaidi kwa masikini tanzagiza klk kenya.

pili ukiangalia wahamiaji wa pande zote mbili wakenya wanaokuja tanzagia wengi wanakuja kama experts na wengine kufanya biashara i.e wanakuja na mitaji vs watanzagiza wanaohamia kenya wanaenda kufanya biashara ndogo ndogo kama kuuza gengeni au mitumba nairobi kuna masoko ya mboga mboga yamejaa watanzania hivyo hiyo ina-debunk uongo tuliolishwa siku yote kwamba maisha ya mtanzagiza wa kawaida ni bora klk maisha ya mkenya wa kawaida ...
Hizo bado ni indicator ndogo sana

Wantanzania kwa sehemu kubwa wanamiliki ardhi, ambayo wanaitumia kufanya uzalishaji, wana uhakika wa chakula na fedha kidogo za kujikimu.

Mfumo wetu wa uchumi ni rafiki una accomodate biashara ndogo ndogo na shughuli nyingi za kujitafutia kipato zisizo rasmi ambazo zina support maisha ya watu wetu wengi.

Masikini wa Tanzania hawezi kuwa sawa na masikini wa Kenya au Uganda
 
hapana hiyo siyo indicator ndogo ni indicator kubwa kwa maana kama ni kweli watu wa kawada wa tanzagiza wangekuwa na hali nzuri klk watu wa kawaidia wa kenya basi tanzagiza ingevutia watu wengi wa kawaidia wa kenya kuja kuishi hapa lkn ukweli ni kwamba masikini na watu wa chini wa tanzagiza tena wengi tu wanakwenda kutafuta maisha bora nchini kenya klk kinyume chake hiyvo hakuna ushaidi mubwa zaidi ya huo kwamba maisha kwa mtu wa kawaida kenya ni bora klk mtu wa tanzagiza.

plus kama ni kweli unavyosema, kwa nini sasa haionekani kwenye gdp? kama ni kweli watanzania wanamiliki ardhi (hakuna mtanzaigia anayemilikia ardhi mnadaganywa na kujidanganya sana) kama unavyodai? ...
 
Shida yetu ni kwamba hatuna mifumo rasmi ya kutoa taarifa, watu wetu wana mapato makubwa zaidi

Wenzetu wame industrialize kidogo zaidi yetu lakini uchumi wao unaendeshwa na watu wachache
 
Shida yetu ni kwamba hatuna mifumo rasmi ya kutoa taarifa, watu wetu wana mapato makubwa zaidi

Wenzetu wame industrialize kidogo zaidi yetu lakini uchumi wao unaendeshwa na watu wachache

na ndiyo umaskini wenyewe huo sasa, uchumi usiyo rasmi, maskini wate wako hivyo ukienda pakistani au kabul utakuta watu wengi wako busy mitaani pia kama tu tanzagiza wakifanya uchuuzi lkn ni uchumi usio rasmi i.e pesa inaishia mifukoni mwa watu na haingii kwenye mfumo wa kiuchumi na kunufaisha nchi yote kwa ujumla.

na ndiyo maana hata afcon pmj na uwekezaji wote mkubwa kufanyika tena kwa mikopo mikubwa itakayo acha madeni makubwa lkn hakutakuwa na mchango wowote mkubwa utakaonekana kwenye uchumi wa nchi kwa ujumla kwani hata sasa hivi wanajenga viwanja vikubwa ni wapi inaonyesha contribution yake kwenye uchumi? nchi nyingine unaweza kuona mabadiliko kiuchumi kuanzia kwenye viwanda kama vya cement ambapo demand inaongezeka hali inayopelekea ajira kuzalishwa kwa maana watahitajika watu wengi mpaka tanesco ingepata faida kwani demand ya umeme ingeongezeka viwandani lkn hakuna chochote ni kimya tu kana kwamba hakuna kinachoendelea, sijawahi kusikia viwanda vya cement vikitafuta wafanyakazi, sasa ni kwa nini kama kuna big infrastructure projects zinaendelea ...
 
Kuna factor ya pato la nchi kugawanywa kwa idadi ya watu arbitrary

ila on the ground, nafikiri watanzania wana hali nzuri zaidi kuliko wakenya na waganda
Punguza uongo, watanzania Wana Hali mbaya sana. Hawana pesa kabisa. Watanzania wamekubali kuishi kwa Hali ilivyo. Haiamanishi maisha ni mazuri. Watu wananjaa
 
Back
Top Bottom