Wamewezaje nini?Hizo nchi ni jangwa jweli, na hapo ndipo hoja inapopata nguvu,, wamewezaje? Tunashindwaje?
Wamewezaje nini?Hizo nchi ni jangwa jweli, na hapo ndipo hoja inapopata nguvu,, wamewezaje? Tunashindwaje?
Rejea figure zilizoletwa na mtoa mada ndugu ili tusizunguke au utanielewesha vizuri zaidi maana hakika Mimi si mwanauchumi.hii ni gdp per capital au income per capital unaelewa maana yake? isitoshe kwa logic yako basi lesotho na swaziland pia zingekuwa rich kama botswana au namibia au new zealand ingekuwa richrler klk australia, au kanada ingekuwa richer klk USA kwa maama population ya USA ni kubwa mara 10 ya Kanada na bado USA in higher per gdp per capital klk kanada …
Soyo productivity.
Namibia na Botswana GDP yao inatokana na Madini.
Ukitaka kunua GDP siyo kitu, angalia ya GSP per Capita ya Djibouti. Iko $4,100 lakini hoyo nchi ina maisha magumu balaa.
Rejea figure zilizoletwa na mtoa mada ndugu ili tusizunguke au utanielewesha vizuri zaidi maana hakika Mimi si mwanauchumi.
Tanzania =1360usd
Namibia/Botswana=zote ziko na 5000+ Tusaidie kujua sasa hii ni Income per capital au GDP ?
Nimecheka 😁😁😁so wamefunga kiwanda kilichokuwa kina wapatia watu kazi halafu Sasa hivi watu wanifanyia mahubiri Hilo eneo huku wangine wakiomba miujiza ya kupata kazi !!? Africa shikamoo , 😀😀Botswana uchumi wake ni madini na uuzaji wa nyama ya ng'ombe nje ya nchi, vyote hivyo Tanzania wanavyo na asilimia kubwa ya wataalamu ni raia wa Tanzania na wazungu waliokuwepo Tanganyika Pakers.
Walichotuzidi wenzetu ni kutumia rasilimali walizonazo kwa manufaa ya nchi na sio kwa manufaa ya viongozi kama hapa kwetu.
Tanganyika Pakers kiwanda kilifungwa sasa hivi ni ebeo la maombezi ikiwemo kwa watu wanaokosa ajira.
Hizo namba ni GDP per capita, maana yake mgawanyo unaotafuta umeshafanywa.Hebu gawanya GDP ya Tanzania kwa population ya kenya au ya uganda tuone ikoje
Kwa hiyo GDP per Capital yetu kuwa 1360usd humaanisha nini? Je, si wastani wa pato la mtu mmoja mmoja ?ni income per capital usichanganye gdp per capital vs total gdp the second one inategemea na ukubwq wa population lkn gdp per capital (ambayo ndiyo mada inahusu) ndiyo kipimo cha how well-off the country is kwa maana inapima pato la wananchi wa nchi husika …
Unataka kuelewa au unakaza fuvu tu.gdp per capital ni goods and services produced ina country divided by population besides bado djibouti wako mbele ya tanzagiza kiuchumi tena kwa mbali sana tu, djibouti iko horn of afrika, ni very important country kwanza hizo foreign military bases zilizoko djibouti peke yake zinachangia kiasi kikuwa tu kwenye gdp per capital ya djibouti, djibouti ndiko meli zinakopiga kona kuingia suez canal mpaka mediteranean hivyo ni moja kati ya nchi muhimu sana afrika kwenye international trade …
Unaweza kutusiaidia takwimu zinazoonyesha Watanzania wana hali nzuri zaidi?Kuna factor ya pato la nchi kugawanywa kwa idadi ya watu arbitrary
ila on the ground, nafikiri watanzania wana hali nzuri zaidi kuliko wakenya na waganda
Tunabebwa na wingi wa chakula kinachouzwa kwa bei nafuu kuliko wenzetu.on the ground, nafikiri watanzania wana hali nzuri zaidi kuliko wakenya na waganda
Nimecheka 😁😁😁so wamefunga kiwanda kilichokuwa kina wapatia watu kazi halafu Sasa hivi watu wanifanyia mahubiri Hilo eneo huku wangine wakiomba miujiza ya kupata kazi !!? Africa shikamoo , 😀😀
Mimi nimefanya kazi na waganda plus wakenya kwa miaka karibia nane, wale jamaa tangu wamekuja Tanzania, hawajawahi kuwa na hamu ya kurudi kwenye mataifa yao.Kuna factor ya pato la nchi kugawanywa kwa idadi ya watu arbitrary
ila on the ground, nafikiri watanzania wana hali nzuri zaidi kuliko wakenya na waganda
HakikaMimi nimefanya kazi na waganda plus wakenya kwa miaka karibia nane, wale jamaa tangu wamekuja Tanzania, hawajawahi kuwa na hamu ya kurudi kwenye mataifa yao.
Mimi nimefanya kazi na waganda plus wakenya kwa miaka karibia nane, wale jamaa tangu wamekuja Tanzania, hawajawahi kuwa na hamu ya kurudi kwenye mataifa yao.
Ndiyoulishawahi kufika kenya na kuongea na watanzania wanaoishi huko kama wanataka kurudi tanzagiza? ...
Ndiyo
Unaulizia asali Tabora?ulishawahi kukutana na watanzania wanaouza gengeni na mitumba? na je omb omba walliojaa mitaani ktk tanzania ulishawahi kuwaona? ...