Botswana na Namibia ni nchi tajiri zaidi barai Afrika, msikate tamaa tunaweza!

gdp per capital ya djibouti ni kubwa klk ya tanzagiza, sasa kuna kipi kingine cha kujadili hapo? ...
GDP per Capita ya Djibouti, $4,200.

Nchi ambayo hakuna kinavhoe delea zakdi ya bandari na military bases za China, France, Marekani.

Mchi.iliyojaa janhwa na umasikini wa kutisha.

Hivi huwa mnatumia akili, au hivyo vichwa ni bya kufugia nywele tu.

View: https://youtu.be/NFEjH-v010Y?feature=shared
 
Unaweza kutusiaidia takwimu zinazoonyesha Watanzania wana hali nzuri zaidi?
Kwa maana wanakula vizuri, wana makazi mazuri zaidi, huduma za afya ni nzuri zaidi n.k.?
Watanzania bado ni masikini.

Lakini siyo kwamba tumepoteza tumaini.

Nyerere aliacha raslimali za nchi hii, mikononi mwa umma.

WaTZ, wanalima, wanafanya uchimbaji mdogo wa madini, wanafuga, wanakula, wana vieneo vyao wanajenga nyumba hata za tope wanaishi.

Nchi kama Afrika Kuaini, Kazi zote za Mashamba, Migodi, viwanda, majumba makubwa hufanywa na makaburu wenye mitaji mikubwa.

Umiliki wa ardhi ni wa milele na wazulu hawana chao, hata kama GDP per Capita inasoma $6000.

Jifunze kuchambua hizi data.

Lazima ujue ulipotoka, uko wapi na unafikaje unapotaka na wenzako wakoje na wamekwama wapi ili usipite hapo.

Inashangaza Mbongo akaiambiwa uchumi unakuwa, anasema ni uchumi wa makaratasi, ili akiletewa uchumi wa makaratasi wa Namibia, Botswana, Afrika Kusini, Djibouti anakaza fuvnu kama TAAHIRA.

View: https://youtu.be/NFEjH-v010Y?feature=shared
 
GDP per Capita ya Djibouti, $4,200.

Nchi ambayo hakuna kinavhoe delea zakdi ya bandari na military bases za China, France, Marekani.
Mchi.iliyojaa janhwa na umasikini wa kutisha.
Hivi huwa mnatumia akili, au hivyo vichwa ni bya kufugia nywele tu.

View: https://youtu.be/NFEjH-v010Y?feature=shared

sijaelewa ni kipi unachotaka kukisema? i mean, hoja yako hasa ni ipi? ni kwamba unapinga uhalali wa matumizi ya gdp au nini? hesabu iliyotumika kukokotoa namba ya gdp per capital ya djibouti ndiyo ileile iliyotumika kukotoa gdp ya katar, saudi arabia, china au hata USA, na siyo mimi niliyoiweka bali inatumika na kutambulika kimataifa ...
 
GDP ni fake METRIC kwa mtu yoyote mwenye akili timamu.

Zinapikwa tu.

Mfano, leo unaweza kupika thamani ya Tsh, ikawa $1 = Tsh 1500 autimatically jiyo GDP yako itapanda.

Kuna nchi hazijawahi kufanya sensa kama DRC, lakini unakuta kuna GDP per Capita maana yake wanakadiria tu idadi ya watu.

Lakini pia GDP inaweza kukua kwa uwekezaji wa kikundi kidogo sana cha watu, huku wenyeji wakiwa masikini wa kutisha.
 
labda uko sahihi na siwezi kubishana na wewe juu ya hilo lkn nielewavyo gdp ni kipimo kinachotambulika na kutumiwa dunia nzima kinatumia na economic nobel prize winners dunia nzima, un, kinatumiwa na financial institutions dunia nzima kama wote hao wameshindwa kuona kile ambacho wewe unakiona siwezi kukubishia ...
 
Watanzania bado ni masikini.

Lakini siyo kwamba tumepoteza tumaini.

Nyerere aliacha raslimali za nchi hii, mikononi mwa umma.

WaTZ, wanalima, wanafanya uchimbaji mdogo wa madini, wanafuga, wanakula, wana vieneo vyao wanajenga nyumba hata za tope wanaishi.

Nchi kama Afrika Kuaini, Kazi zote za Mashamba, Migodi, viwanda, majumba makubwa hufanywa na makaburu wenye mitaji mikubwa.

Umiliki wa ardhi ni wa milele na wazulu hawana chao, hata kama GDP per Capita inasoma $6000.

Jifunze kuchambua hizi data.

Lazima ujue ulipotoka, uko wapi na unafikaje unapotaka na wenzako wakoje na wamekwama wapi ili usipite hapo.

Inashangaza Mbongo akaiambiwa uchumi unakuwa, anasema ni uchumi wa makaratasi, ili akiletewa uchumi wa makaratasi wa Namibia, Botswana, Afrika Kusini, Djibouti anakaza fuvnu kama TAAHIRA.

View: https://youtu.be/NFEjH-v010Y?feature=shared

Hao so makaburu ni raia wa South Africa kabla hata mimba ya babu yako haijafikiriwa kutungwa ,stupid .Na wana contribution kwenye uchumi wa south Afrika kubwa kuliko wewe kenge
 
Weww nguruwe, mimi siyo Maouth Afrika.

Wewe mavi, Sizungumzii Makaburu kuwa raia.

Wewe ****, nqjua hata nje ya wilaya yako hujawahi kutoka.

Nyie ndio mnafirwa kwa hizi shobo zilizoambana na ubongo uliojaa mavi.
 
labda uko sahihi na siwezi kubishana na wewe juu ya hilo lkn nielewavyo gdp ni kipimo kinachotambulika na kutumiwa dunia nzima kinatumia na economic nobel prize winners dunia nzima, un, kinatumiwa na financial institutions dunia nzima kama wote hao wameshindwa kuona kile ambacho wewe unakiona siwezi kukubishia ...
Financial institutions zipi?

Kufanyia nini?
 
imf, world bank, african development bank, kwanza hizi data za gdp per capital nilizoweka chanzo chake ni kutoka imf/ world bank ...
Hizo ni taasisi za mikopo.

Mwanzo zilikuwa zunaangalia Debt to GDP ratio, ila kwazasa zimegundua GDP zinapikwa tu.

Badala yake zinaangalia REVENUE.

Makusanyo yako ya mwezi ndio yanafanya marejesho na siyo GDP.

Ndio maana Kenya, wanatumia 70% ya makusanyo yao ya mwezi kufanya marejesho, na hivyo wakopeshaji wanawakwepa vibaya licha ya kuwa wana GDP ya $141B.

Hata uwe na GDP ya $500B ila kama unatumia 80% ya mapato kulipa madeni, wanajua kabisa utakwama.
 
sasa kipimo cha uchumi ni kipi kinachotumiwa duniani? wanaposema USA is the largest economy in the world huwa wanatumia kigezo gani? au ni uwongo pia kwamba USA siyo largest economy in the world? ...
 
Wanaposema kina nani?

Kila mtu ni anavyoona.

China iko juu kimaendeleo kuliko USA.

Ila kwakuwa China wameamua kuifanya Yuan iwe na thamani ya chini ili wauze sana bidhaa zao nje ya nchi, GDP yao inaonekana iko chini ya Marekani.

Hakuna mtu timamu anatumia GDP siku hizi.

View: https://x.com/FT/status/2085225054447485017?s=20
 
duh, sasa ni kipi kinakufanya usema china iko juu ya USA? unatumia kipimo gani? ni hisia tu au ? na kwa nini siyo india ikawa juu ya china na USA? i mean, kipimo chako cha kiuchumi ni kipi kinachokufanya usema china iko juu ya USA ndicho nilichopenda kufahamu, kwa maana ni lazima kuna hesabu unazopiga na kupata jibu la kwamba uchumi wa china uko juu ya USA ... ...
 
Natumia HDI, GNI na maisha ya watu.

China anatoa huduma kwa wananchi wake ambazo US amefeli.

China ana watu 1.4B ila hana mtu analala nje.

US ana watu 300M ila hali ni mbayaaa.
 
Back
Top Bottom