Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,860
- 18,819
- Thread starter
- #81
Natumia HDI, GNI na maisha ya watu.
China anatoa huduma kwa wananchi wake ambazo US amefeli.
China ana watu 1.4B ila hana mtu analala nje.
US ana watu 300M ila hali ni mbayaaa.
lkn mbona hata vigezo vyote ulivyovichagua bado china iko chini tena sana tu kulinganisha na USA? USA has higher human development index klk china tena kwa mbali tu? plus mbona Botswana na Namibia bado tu wako juu kwenye human development index pia? una kisingizio gani kingine? ...