Ahsante kwa taarifa. Ni kweli Uganda wanaelekea kutupita mwaka huu.gdp per capital income, >95% black countries (ukiondoa vsiwa kama Shelishali na Mauritius) are the richest in afrika, na ilipaswa kuwa hivyo,
Botswana: 8,490 usd
Namibia: 5,570 usd
richer than egypt, morocco, tunisia, algeria, libya, indonesia, iran, india, pakistan, vietnam plus Botswana (bila Namibia) is richer than thailand too, btw kwa mara ya kwanza ktk historia ya afrika mashariki uganda imetupita ingawaje hawana bandari wanategemea mombasa umbali wa 1000 km vs tanzagiza bandari inayotegemewa na nchi zaidi 6 kwa nini haionekani kwenye uchumi?, hawana dhahabu wala makaa ya mawe, hivyo ni ushahdi tosha kwamba fedha za tanzagiza zinazotokana na bandari na rasilimali zinaibiwa kabla ya kuingizwa kwenye uchumi wa nchi ni kama tu dr kongo ...
Tanzania 1,360 usd
Uganda 1,470 usd
Kenya 2,700 usd
Ahsante kwa taarifa. Ni kweli Uganda wanaelekea kutupita mwaka huu.
na Kenya wametupita mara mbili.
Hapo nikusahihishe kidogo kuhusu Uganda. Uganda imeipita Tanzania lakini sio mara ya kwanza.
Kwa miaka ya 60 na 70 kabla Idd Amin hajavuruga nchi Uganda iliipita Tanzania; tena kwa mbali.
View attachment 3643566
Ukizichunguza hizo nchi utakuta miongoni mwa raia wake kuna wazungu wengi hasa Namibia,wangekuwa wamatumbi pure yao wasingekuwa na status hiyo
Na population kubwa inayokuwa kwa kasi.Tanzania inaharibika kwa ufisadi nothing else
Botswanagdp per capital income, >95% black countries (ukiondoa visiwa kama Shelisheli na Mauritius) are the richest in afrika, na ilipaswa kuwa hivyo,
Botswana: 8,490 usd
Namibia: 5,570 usd
richer than egypt, morocco, tunisia, algeria, libya, indonesia, iran, india, pakistan, vietnam plus Botswana (bila Namibia) is richer than thailand too, btw kwa mara ya kwanza ktk historia ya afrika mashariki uganda imetupita ingawaje hawana bandari wanategemea mombasa umbali wa 1000 km vs tanzagiza bandari inayotegemewa na nchi karibia 6 kwa nini haionekani kwenye uchumi? hawana (uganda) dhahabu wala makaa ya mawe, hivyo ni ushahdi tosha kwamba fedha za tanzagiza zinazotokana na bandari na rasilimali zinaibiwa kabla ya kuingizwa kwenye uchumi wa nchi ni kama tu dr kongo ...
Tanzania 1,360 usd
Uganda 1,470 usd
Kenya 2,700 usd
Kuna factor ya pato la nchi kugawanywa kwa idadi ya watu arbitrary
ila on the ground, nafikiri watanzania wana hali nzuri zaidi kuliko wakenya na waganda
Mijizi ndio inawapamba wajinga kwa mgongo wa chupa. Miaka sio mingi tutapitwa hata na malawi.Halafu watakuja kukwambia uchumi wa tz unakuwa kwa kasi
Botswana
Namibia
Aee owned by GERMAMS.
Very few PEOPLE, and hwnce High GDP per Capita.
DESERTS.
Though, better use of their Natural resources.
Hizo bado ni indicator ndogo sanasiyo kweli, huyo ni uongo tuliolishwa tangia enzi zile ili ionekane kama mfumo wetu wa uchumi ni bora, na ushahidi wangu wa kwamba siyo kweli "on the ground" watanzagiza wanafanya vizuri uko hapa, masikini wa tanzagiza wanahamia kenya ukienda kenya sehemu kubwa ya omba omba mitaani wanatokea tanzagiza vs wakenya hakuna omba omba anayehamia tanzagiza kuja kuomba hivyo hakuna ushahidi mkubwa zaidi ya huo kwamba maisha ni magumu zaidi kwa masikini tanzagiza klk kenya.
pili ukiangalia wahamiaji wa pande zote mbili wakenya wanaokuja tanzagia wengi wanakuja kama experts na wengine kufanya biashara i.e wanakuja na mitaji vs watanzagiza wanaohamia kenya wanaenda kufanya biashara ndogo ndogo kama kuuza gengeni au mitumba nairobi kuna masoko ya mboga mboga yamejaa watanzania hivyo hiyo ina-debunk uongo tuliolishwa siku yote kwamba maisha ya mtanzagiza wa kawaida ni bora klk maisha ya mkenya wa kawaida ...
Hizo bado ni indicator ndogo sana
Wantanzania kwa sehemu kubwa wanamiliki ardhi, ambayo wanaitumia kufanya uzalishaji, wana uhakika wa chakula na fedha kidogo za kujikimu.
Mfumo wetu wa uchumi ni rafiki una accomodate biashara ndogo ndogo na shughuli nyingi za kujitafutia kipato zisizo rasmi ambazo zina support maisha ya watu wetu wengi.
Masikini wa Tanzania hawezi kuwa sawa na masikini wa Kenya au Uganda
Shida yetu ni kwamba hatuna mifumo rasmi ya kutoa taarifa, watu wetu wana mapato makubwa zaidihapana hiyo siyo indicator ndogo ni indicator kubwa kwa maana kama ni kweli watu wa kawada wa tanzagiza wangekuwa na hali nzuri klk watu wa kawaidia wa kenya basi tanzagiza ingevutia watu wengi wa kawaidia wa kenya kuja kuishi hapa lkn ukweli ni kwamba masikini na watu wa chini wa tanzagiza tena wengi tu wanakwenda kutafuta maisha bora nchini kenya klk kinyume chake hiyvo hakuna ushaidi mubwa zaidi ya huo kwamba maisha kwa mtu wa kawaida kenya ni bora klk mtu wa tanzagiza.
plus kama ni kweli unavyosema, kwa nini sasa haionekani kwenye gdp? kama ni kweli watanzania wanamiliki ardhi (hakuna mtanzaigia anayemilikia ardhi mnadaganywa na kujidanganya sana) kama unavyodai? ...
Shida yetu ni kwamba hatuna mifumo rasmi ya kutoa taarifa, watu wetu wana mapato makubwa zaidi
Wenzetu wame industrialize kidogo zaidi yetu lakini uchumi wao unaendeshwa na watu wachache
Punguza uongo, watanzania Wana Hali mbaya sana. Hawana pesa kabisa. Watanzania wamekubali kuishi kwa Hali ilivyo. Haiamanishi maisha ni mazuri. Watu wananjaaKuna factor ya pato la nchi kugawanywa kwa idadi ya watu arbitrary
ila on the ground, nafikiri watanzania wana hali nzuri zaidi kuliko wakenya na waganda