[emoji14] [emoji14] [emoji14] kuluka luka[emoji14] [emoji14] [emoji14][emoji3] [emoji3] nilitaka kuluka luka nikadhani Ndala ndo washaolewa kumbe tanesco.
Halisaidii mkuu tuna hitaji 2Goli moja litasaidia? Nataka niombe muujiza huo hapa.
Kimataifa hamna chenu ni kujaza mbu tu. Subiri soka ya uhakika bila chenga kwa Simba SC Vs MwarabuDah, tunaenda kombe la mbuzi - kombe la Shirikisho la CAF.
Simba namwelewaKimataifa hamna chenu ni kujaza mbu tu. Subiri soka ya uhakika bila chenga kwa Simba SC Vs Mwarabu
Vyura FC anapenda maji lakini si ya moto. Hawezi kabisa [emoji16] [emoji16]Njooni tu nyumbani..!!Lipuli na mbao wanawasubiri..ndo hasa tunavyoviweza
Tunasubiri tuone muujizaKimataifa hamna chenu ni kujaza mbu tu. Subiri soka ya uhakika bila chenga kwa Simba SC Vs Mwarabu