Botswana: Township Rollers 0 - 0 Yanga SC! Yanga imetolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa matokeo ya awali

Botswana: Township Rollers 0 - 0 Yanga SC! Yanga imetolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa matokeo ya awali

Goli moja litasaidia? Nataka niombe muujiza huo hapa.
 
Dah, tunaenda kombe la mbuzi - kombe la Shirikisho la CAF.
 
Ndio mwisho huo...
Utasikia wamepambana kiume...
 
Watu wa msimbazi muda huu....
IMG_0729.JPG
 
Back
Top Bottom