Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,296
- 18,027
Baadaye?Watu wa msimbazi muda huu....
View attachment 717798
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baadaye?Watu wa msimbazi muda huu....
View attachment 717798
Na Simba inatoka. Ni kupishana tu.Sasa yanga inakwenda shirikisho
Chirwa anapiga straight anonymous pass ambayo kitaalam tunaiita single acrobatic pass. Ni pass ambayo wachezaji wachache sana huwa wanamudu kuicheza.
Kwako Jesse.
Hahaaa. Mtani mna mechi lakini na nyie baadae?Asanteni kwa kuja kushiriki
Hahahaaa. Na haiwezi kutokea wacha wajifariji tu.Tunasubiri tuone muujiza
tulia wewe mwarabu keshadindisha huko anasubiri simba aaze kunengua tu amalize kaziJamani tulisema hapa kuwa hawa jamaa ni 'Wachovu wa Kimataifa," mashabiki wakakasirika na baadhi wakaenda ofisi za JF kupiga punyeto kuondoa hasira zao. Yanga hata siku moja HAIJAWAHI kufanya la hajabu kimataifa, wao kazi yao ni kusindikiza tu na kujisifia kupanda ndege. Hapo utawasikia wachezaji..."tulikunywa chai ya maziwa kwenye ndege na kubugia ugoro wa Mze Akilimali." Hivi kwanini TFF isiwafungie tu, hii ni haibu kwa taifa. Ugoro wa Mze Akilimali mwisho wake hapa hapa Bongo.
Wala haituzuii kusema chochote Mtani. Narudia tena asanteni kwa kuja kushirikiHahaaa. Mtani mna mechi lakini na nyie baadae?
tulia wewe mwarabu keshadindisha huko anasubiri simba aaze kunengua tu amalize kazi
Yanga haina biashara ya kukata rufaa FIFA. So far, timu zote za Tanzania zinashiriki tu. Hakuna aliyewahi kuleta Kombe lolote la CAF. Issue si kufika fainali, ni kubeba Kombe. Aliyerudia Morogoro na Mwingine Dodoma, wote hawajafika Kigoma.Jamani tulisema hapa kuwa hawa jamaa ni 'Wachovu wa Kimataifa," mashabiki wakakasirika na baadhi wakaenda ofisi za JF kupiga punyeto kuondoa hasira zao. Yanga hata siku moja HAIJAWAHI kufanya la hajabu kimataifa, wao kazi yao ni kusindikiza tu na kujisifia kupanda ndege. Hapo utawasikia wachezaji..."tulikunywa chai ya maziwa kwenye ndege na kubugia ugoro wa Mze Akilimali." Hivi kwanini TFF isiwafungie tu, hii ni haibu kwa taifa. Ugoro wa Mze Akilimali mwisho wake hapa hapa Bongo.
Yanga haina biashara ya kukata rufaa FIFA. So far, timu zote za Tanzania zinashiriki tu. Hakuna aliyewahi kuleta Kombe lolote la CAF. Issue si kufika fainali, ni kubeba Kombe. Aliyerudia Morogoro na Mwingine Dodoma, wote hawajafika Kigoma.
Yanga ni kimataifa kwa sababu inapata nafasi ya kushiriki baada ya kubeba ndoo ya VPLInasikitisha sana, sasa kwa nini Yanga wanajiita wa kimataifa ikiwa wao ni wachovu kinoma kwenye hayo mashindano ya kimataifa. Si ni haibu hii?
wala hata sihofiiiJoseverest mbona sikuoni au unahofia makhirikhiri?