Box Office battle: Avatar Vs Avengers

Ila sema na yule Groot akikua atakuwa hatari sana. Nataman huko mbeleni waje wampe solo movie tuone Moto wake. Thor anamwita tree[emoji3]
James Gunn Director wa GOG alisemaMCU haina mpango wa kumleta Adult Groot, tutaendela kumuona Teen Groot tu!
Mm ndio nayempenda
 
Your Wrong
Ultron was there, Tony alimuomba Bruce msaada wa Kuintegrate AI aliluwemo kwenye Specter ambayo Avengers walikua wameichukua, Instead Ultron akatake over na kumuua Jarvis, na akajiweka kwenye zile Robots za Tony, Wakati Doctor alikua anafanya uwezekano wa kumcopy Ultron na kumweka kwenye Ule mwili unao evolve Mwili ukaibiwa na Avengers Tony akataka Kuuprogramm then wengine wakawa wanazuia Ndo thor akaamua Kuupower up na Matokeo yake akatokea Vison Na sio Ultron wala Jarvis

Watch scene Hapa;
 
I'm gonna ask you one question, Which master do you serve ?
 

Kwa upande wangu naona Thanos yuko sawa sana with or without Infinity Gaunlet, kumbuka aliwachapa Iron Man + Thor + Captain America kwa pamoja.
 
Kwa upande wangu naona Thanos yuko sawa sana with or without Infinity Gaunlet, kumbuka aliwachapa Iron Man + Thor + Captain America kwa pamoja.
Gaunlet ilikua inamfanya mvivu, Plus Age unaweza sema Kwenye Endgame tumemuona Thanos wa Nyuma In 2023, Lakini kwenye Infinity war tulimuona Thanos wa wakati huo
 
Hapo kwenye Thor bila nyundo, Naamin Thor ni stronger bila nyundo, Kwani inamfanya mvivu, Angalia Ragnarok,
 
Katika character ambao niliona kama vile wamefanyiwa figisu ni yule. Hakupewa a chance ya kuonyesha hasa uwezo wake. He is very powerful.
 
Hao jamaa wanafanikiwa siyo sababu movie zoa ni nzuri kivile...

Ni kwa sababu wana Cinema kubwa kubwa nyingi sana zimetapakaa nchi nzima... kwa hiyo ka movie kakitoka wanakapigia promo...

Alafu inasambazwa kwanza kwenye Cinema zote kuoneshwa huko ndipo wanapigia pesa...

Hata sisi hapa tungekua na Cinema nchi nzima kila wilaya au vitongoji ungeona vile Bongo movies wangepiga pesa kwa movie hizi hizi...
 
Mpaka sasa Character nayemuona powerful ni Jean Grey kutoka XMen hata Carol Denver natumaini anapigwa
Kwa upande wangu naona Thanos yuko sawa sana with or without Infinity Gaunlet, kumbuka aliwachapa Iron Man + Thor + Captain America kwa pamoja.

Gaunlet ilikua inamfanya mvivu, Plus Age unaweza sema Kwenye Endgame tumemuona Thanos wa Nyuma In 2023, Lakini kwenye Infinity war tulimuona Thanos wa wakati huo
 
Katika character ambao niliona kama vile wamefanyiwa figisu ni yule. Hakupewa a chance ya kuonyesha hasa uwezo wake. He is very powerful.
Hakufanyiwa figisu bana sema tu kwenye Endgame kulikua kuna character wengi isingewezekana kila mtu kupewa screen time ya kutosha. Kuna character wengi haeakuonyeshwa japo walikuwemo. Mfano Yondou udonta/Kraglin alikuwepo ila hakuonyeshwa sana. Natumaini Ebony Maw ataonekana tena muvi zijazo
 
Strongest marvel character Ni Thor

Cha kwanza ni god halafu hategemei nyundo kama unakumbuka kwenye flash back akiongea na baba ake Odin.alimwambia nyundo ni kwa ajili ya kuweza ku control tu nguvu zake ila haim define na ndo maaana kuna mda alikuwa ana fight bila nyundo na kutoa thunder

Halafu wanafuata wale characters ambao wamepata nguvu zao kupitia infinity stones
Kama captain marvel na Wanda ambae Ni Scarlet witch ndo maaana kwenye wandavision series Agatha alimwambia wanda nguvu zake zina exceed kuliko zile za sorcerer supreme ambae wote tunamjua ni doctor strange Hata kwenye end credity scene tunaona anaingia kwenye astral projection huku mwili wake mwengine ukiendelea na shughuli nyingine alikuwa anapasha chai huko mwili mwengine tuseme her another conscious akisoma kile kitabu [emoji28] kitu ambacho ni kipya hata Dr Stephen stranger akufanya hivyo infact no mystical being anaweza fanya hivyo

So rank Ni hii
_Thor
_Captain marvel
_scarlet witch



Pia nimeona watu wanasema thanos sio chochote bila Ile gauntlet yake eeh bwana kabla sijaendelea si mnakumbuka alimgonga hulk kwenye hand to hand combat bila gauntlet

Aya sasa tuendelee thanos ni among powerful Titan nikurudushe nyuma kidogo kwenye Guardian of the galaxy Ronan the accuser huyu ni kree hii race bana[emoji1787] ni ubabe mwingi tuachane na hayo

baada ya kupata ile infinix stone ambayo walikuwa wanaisaka ambapo waliingia mkataba na thanos kwamba akiipata ampe thanos na yeye ata destroy a xandar capital iliopo planet za Nova prime kama makubaliano yao lakini Ronan akabadili mawazo akasema nitatumia hii infinix stone nita destroy xandar na thanos msaidizi wake korax sijui kama jina nimepatia akamwambia boss thanos Ni among powerful being in universe hivyo afikirie hicho anachotaka kufanya


Kwenye season ya agent of shield sikumbuki episode ila kuna kree aliwaonya kwamba kuna mtu so powerful atakuja ku destroy planet Earth ambae alitajwa jina ni thanos tena hapa hata avengers infinity haijatoka kwa mtu ambae haufatilii marvel movies kwa wakati huo hutaweza kuelewa thanos ni nani maana agent of shield ni ya mda kidogo

Na huyo kree aliwaambia hata hao avenger hawataweza kuwasadia



Marvel wame introduce two villan ambae ngoja tuone kwenye upcoming movies kama wataweza mfikia thanos ambao ni

Gorr the gods Slayer kwenye comics huyu alikuwa anaua gods dizaini Kama kina thor sasa pata picha unawaua hao watu utakuaje na sidhani kama Thor atakua pekee yake maana ila ngoja tuone kwenye Thor love and thunder itakuaje

Kuna Adam huyu utamkuta kwenye comics lakini tayari kashakuwa introduced in guardian of Galaxy franchise nadhan vol 3 ikitoka tutajua


Kuhusu darkseid kwakua nimechoka kuandika niseme tu next Justice league movie itakuwa ni moto na ashajua Earth kuna life equation anayoitafuta ngoja tuone ...
 

Kwa kukazia pia Thanos aliwatandika Thor + Iron Man + Captain America combined.
So, he is very powerful with or without the Gaunlet

Lakini pia tusimu - underrate Captain America (Super Soldier) maana naona kwenye hand to hand battle yuko vizuri pia, aliweza kum - challenge Thanos kwenye Endgame japokuwa alizidiwa mwishoni lakini alinyanyuka tena ku fight, he was ready to fight him again (I can do this all day) kwa bahati mbaya au nzuri other members wakaja kusaidia.
 
Finally a worthy opponent, Our battle will be Legendary 😅
It's right Thor ni Strongest character lakini hiyo haimfanyi kumshinda Carol Denver. Sikatai kua ni God lakini ujue Odin ni strong zaidi kuliko Thor pia
Wanda nae ni strongest character mpaka sasa alichokua anafanya ni kutumia Atral body yake kufanya tas zingine kama Doc strange. Wana ni strong kuliko strange hilo halina ubishi ngoja tuone 2022 itakuaje
So rank Ni hii
_Thor
_Captain marvel
_scarlet witch
Kwa mujibu wako ni sahihi kabisa nami nakubali ila tukichukua na character kutoka Xmen Jean Grey anakua ni powerful kuliko wote hao. Bado sijamchukua Reed Richard one of the most Smart character in Marvel Comics
Pia nimeona watu wanasema thanos sio chochote bila Ile gauntlet yake eeh bwana kabla sijaendelea si mnakumbuka alimgonga hulk kwenye hand to hand combat bila gauntlet
Thanos anaweza pigwa na mfanya kazi wake Ebony Maw.. hiyo haina ubishi. Thanos akivua Gauntlet yake na Thor akaweka nyundo pembeni Thanos atakufa in 5 minutes. Kinachomsaidia Thanos ana jeshi kubwa
Aya sasa tuendelee thanos ni among powerful Titan nikurudushe nyuma kidogo kwenye Guardian of the galaxy Ronan the accuser huyu ni kree hii race bana[emoji1787] ni ubabe mwingi tuachane na hayo
Ronan mpaka sasa sijaona Upoweful wake si bora hata Yon Rog
Nakumbuka part hiyo, last time naangalia GOG ni jana usiku tu! Sawa ni kweliii comics zinamtaja Thanos as powerful being ila bado sijaona uwezo wake
Agent of Shield ninayo nipo s4 ila nimestop kidogo naangalia blacklist kwqnza. Ngoja nione kama part hiyo nitaifikia
Gorr the slayer sijasoma comics zake sana nimeona Christian bale ndio atampotray kwenye muvi. Lets wait tuone. Thanks for challenge usiku nitasoma comic ya huyu Gorr the slayer

Kuna Adam huyu utamkuta kwenye comics lakini tayari kashakuwa introduced in guardian of Galaxy franchise nadhan vol 3 ikitoka tutajua
Mpaka sasa marvel studios hawajaconfirm kama watamtumia Adam kwenye GOG vol 3 ngoja tuone itakavyokua wakitangaza Cast yao
Kuhusu darkseid kwakua nimechoka kuandika niseme tu next Justice league movie itakuwa ni moto na ashajua Earth kuna life equation anayoitafuta ngoja tuone ...
Yeah nami nakubali. The next just league movie itakua kali zaidi kuliko hii iliyotoka. Sijaipenda wala...
Wito waache kutumia rangi nyeusiii
 

Kuna watu mmewataja hapo siwajui kabisa
Gorr
Ronan
Yon Rog
Jean Grey
Carol Denver
Ni nan hawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…