Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #61
Mwaka kesho tu kabla ya June kitu kitakua outHivi Marvel ndo wamegoma kutoa Dr Strange 2 kabisa?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka kesho tu kabla ya June kitu kitakua outHivi Marvel ndo wamegoma kutoa Dr Strange 2 kabisa?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
James Gunn Director wa GOG alisemaMCU haina mpango wa kumleta Adult Groot, tutaendela kumuona Teen Groot tu!Ila sema na yule Groot akikua atakuwa hatari sana. Nataman huko mbeleni waje wampe solo movie tuone Moto wake. Thor anamwita tree[emoji3]
Your WrongBaada yaBruce na Tony kupata ile Stone aliyokua anatumia Loki kubadiriaha watu Tony aliichunguza akaona ipo kama alogalithm Tony akamuomba Bruce amsaidie kutengeneza Artificial Intelligence nyingine iitwayo Ultron kwa kutumia stone ya loki.
Baadae AI ya Ultron ilienda kinyume/Rogue ikachanganya Jarvis na Ultron kua kitu kimoja. Kumbuka mwanzo wa Avanger Age of Ultron Balton alipigwa risasi (?) ubavuni akaitwa doct Heren kutoka Korea ambae alikua anaweza kuotesha Tissue through cellular regeneration kwa muda mfupi Barton akawa amepona.
Ulton nae alimfuata doctor heren atengeneze mwili Artificial kwa kuotesha Tissue kweye mitambo ili Ultron apakie mind/AI kwenye huo mwili awe kama binaadamu. Baadae Cap na Wenzie waliziwia hilo Jarvis ndio akawa Uploaded kwenye mwili huo.
Sasa ule mwili uliotengenezwa ulikua unaEvolve taratibu kila siku hadi kua binaadamu kamili lakini ndani yake ni Artificial Intelligence.
I'm gonna ask you one question, Which master do you serve ?Ebony Maw... Noma sana huyu jamaa hata hatumii nguvu sana kupambana ni kuamlisha tu kitu. Kiboko ya Doctor Strange
Alianza hivi.
Hear me and rejoice you have to the hands of children of thanos, Be thankful coz your meaningless life is now contributing...
Stark akamuwaha akamwambia..
I'm sorry earth is closed today you better back up and get out here.
Ebony Maw akamjibu...
Stone Keeper (Doc Strange) does this chartering animal speeks for you??[emoji28][emoji28]
Hua nacheka sana hapa.
Sema tu nimepunguza mwanzo niliiua nakalili hadi dialogues.. Hasa kwenye Thor Ragnarok nilikua nimeikariri karibia nusu nzima ya muvi
Captain marvel ana nguvu sana sema Kwenye muvi huko bado hawajaonyesha nguvu zake zote. Ila kwenye Comics huko ni hatari sana.
Thanos bila Inginity Gaunlet ni mtupu kabisa...Ni kama thor bila Nyundo. Kiboko ya Thanos ni Deadpool unajua kwenye comics Thanis hadi alimlaani Deadpool maana hafi hata kwanini... Single atom ya mwili wake inaweza kuota na kumrudisha Deadpool.
Ila mimi nampenda Doctor Strange maana napenda vitu vya kiroho na mystical. Scarlett Witch anaweza kumpiga Thanos hiyo haina ubishi
Scarlett ni witch sio strong kama Carol..Carol mtu wa kupambana nae amtoe jasho ni Hulk su Thor with Mjolnir au StormBreaker
Gaunlet ilikua inamfanya mvivu, Plus Age unaweza sema Kwenye Endgame tumemuona Thanos wa Nyuma In 2023, Lakini kwenye Infinity war tulimuona Thanos wa wakati huoKwa upande wangu naona Thanos yuko sawa sana with or without Infinity Gaunlet, kumbuka aliwachapa Iron Man + Thor + Captain America kwa pamoja.
Hapo kwenye Thor bila nyundo, Naamin Thor ni stronger bila nyundo, Kwani inamfanya mvivu, Angalia Ragnarok,Captain marvel ana nguvu sana sema Kwenye muvi huko bado hawajaonyesha nguvu zake zote. Ila kwenye Comics huko ni hatari sana.
Thanos bila Inginity Gaunlet ni mtupu kabisa...Ni kama thor bila Nyundo. Kiboko ya Thanos ni Deadpool unajua kwenye comics Thanis hadi alimlaani Deadpool maana hafi hata kwanini... Single atom ya mwili wake inaweza kuota na kumrudisha Deadpool.
Ila mimi nampenda Doctor Strange maana napenda vitu vya kiroho na mystical. Scarlett Witch anaweza kumpiga Thanos hiyo haina ubishi
Scarlett ni witch sio strong kama Carol..Carol mtu wa kupambana nae amtoe jasho ni Hulk su Thor with Mjolnir au StormBreaker
Katika character ambao niliona kama vile wamefanyiwa figisu ni yule. Hakupewa a chance ya kuonyesha hasa uwezo wake. He is very powerful.wazee Kuna yule villain ana sura Kama samaki sijalishika jina lake kweny infinity war, alitumwa na Thanos kuja kuchukua time stone kwa Dr strange, naikumbuka Ile scene Tony akiwa na Strange, Master Wong na Hulk anamwambia the Earth is closed today. Naomba jina lake, aliwasumbua sana kila kitu anafanya kwa kusnap tu. nomA sana yule
acha nipitwe tuu, lkn hizo aina za movie sinaga vibe nazo kabisa...Dah unafeli sana ndugu yangu, unapitwa na utamu balaa..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
dah [emoji45]James Gunn Director wa GOG alisemaMCU haina mpango wa kumleta Adult Groot, tutaendela kumuona Teen Groot tu!
Mm ndio nayempenda
Kwa upande wangu naona Thanos yuko sawa sana with or without Infinity Gaunlet, kumbuka aliwachapa Iron Man + Thor + Captain America kwa pamoja.
Gaunlet ilikua inamfanya mvivu, Plus Age unaweza sema Kwenye Endgame tumemuona Thanos wa Nyuma In 2023, Lakini kwenye Infinity war tulimuona Thanos wa wakati huo
Hakufanyiwa figisu bana sema tu kwenye Endgame kulikua kuna character wengi isingewezekana kila mtu kupewa screen time ya kutosha. Kuna character wengi haeakuonyeshwa japo walikuwemo. Mfano Yondou udonta/Kraglin alikuwepo ila hakuonyeshwa sana. Natumaini Ebony Maw ataonekana tena muvi zijazoKatika character ambao niliona kama vile wamefanyiwa figisu ni yule. Hakupewa a chance ya kuonyesha hasa uwezo wake. He is very powerful.
Strongest marvel character Ni Thor
Cha kwanza ni god halafu hategemei nyundo kama unakumbuka kwenye flash back akiongea na baba ake Odin.alimwambia nyundo ni kwa ajili ya kuweza ku control tu nguvu zake ila haim define na ndo maaana kuna mda alikuwa ana fight bila nyundo na kutoa thunder
Halafu wanafuata wale characters ambao wamepata nguvu zao kupitia infinity stones
Kama captain marvel na Wanda ambae Ni Scarlet witch ndo maaana kwenye wandavision series Agatha alimwambia wanda nguvu zake zina exceed kuliko zile za sorcerer supreme ambae wote tunamjua ni doctor strange Hata kwenye end credity scene tunaona anaingia kwenye astral projection huku mwili wake mwengine ukiendelea na shughuli nyingine alikuwa anapasha chai huko mwili mwengine tuseme her another conscious akisoma kile kitabu [emoji28] kitu ambacho ni kipya hata Dr Stephen stranger akufanya hivyo infact no mystical being anaweza fanya hivyo
So rank Ni hii
_Thor
_Captain marvel
_scarlet witch
Pia nimeona watu wanasema thanos sio chochote bila Ile gauntlet yake eeh bwana kabla sijaendelea si mnakumbuka alimgonga hulk kwenye hand to hand combat bila gauntlet
Aya sasa tuendelee thanos ni among powerful Titan nikurudushe nyuma kidogo kwenye Guardian of the galaxy Ronan the accuser huyu ni kree hii race bana[emoji1787] ni ubabe mwingi tuachane na hayo
baada ya kupata ile infinix stone ambayo walikuwa wanaisaka ambapo waliingia mkataba na thanos kwamba akiipata ampe thanos na yeye ata destroy a xandar capital iliopo planet za Nova prime kama makubaliano yao lakini Ronan akabadili mawazo akasema nitatumia hii infinix stone nita destroy xandar na thanos msaidizi wake korax sijui kama jina nimepatia akamwambia boss thanos Ni among powerful being in universe hivyo afikirie hicho anachotaka kufanya
Kwenye season ya agent of shield sikumbuki episode ila kuna kree aliwaonya kwamba kuna mtu so powerful atakuja ku destroy planet Earth ambae alitajwa jina ni thanos tena hapa hata avengers infinity haijatoka kwa mtu ambae haufatilii marvel movies kwa wakati huo hutaweza kuelewa thanos ni nani maana agent of shield ni ya mda kidogo
Na huyo kree aliwaambia hata hao avenger hawataweza kuwasadia
Marvel wame introduce two villan ambae ngoja tuone kwenye upcoming movies kama wataweza mfikia thanos ambao ni
Gorr the gods Slayer kwenye comics huyu alikuwa anaua gods dizaini Kama kina thor sasa pata picha unawaua hao watu utakuaje na sidhani kama Thor atakua pekee yake maana ila ngoja tuone kwenye Thor love and thunder itakuaje
Kuna Adam huyu utamkuta kwenye comics lakini tayari kashakuwa introduced in guardian of Galaxy franchise nadhan vol 3 ikitoka tutajua
Kuhusu darkseid kwakua nimechoka kuandika niseme tu next Justice league movie itakuwa ni moto na ashajua Earth kuna life equation anayoitafuta ngoja tuone ...
It's right Thor ni Strongest character lakini hiyo haimfanyi kumshinda Carol Denver. Sikatai kua ni God lakini ujue Odin ni strong zaidi kuliko Thor piaStrongest marvel character Ni Thor
Cha kwanza ni god halafu hategemei nyundo kama unakumbuka kwenye flash back akiongea na baba ake Odin.alimwambia nyundo ni kwa ajili ya kuweza ku control tu nguvu zake ila haim define na ndo maaana kuna mda alikuwa ana fight bila nyundo na kutoa thunder
Wanda nae ni strongest character mpaka sasa alichokua anafanya ni kutumia Atral body yake kufanya tas zingine kama Doc strange. Wana ni strong kuliko strange hilo halina ubishi ngoja tuone 2022 itakuajeHalafu wanafuata wale characters ambao wamepata nguvu zao kupitia infinity stones
Kama captain marvel na Wanda ambae Ni Scarlet witch ndo maaana kwenye wandavision series Agatha alimwambia wanda nguvu zake zina exceed kuliko zile za sorcerer supreme ambae wote tunamjua ni doctor strange Hata kwenye end credity scene tunaona anaingia kwenye astral projection huku mwili wake mwengine ukiendelea na shughuli nyingine alikuwa anapasha chai huko mwili mwengine tuseme her another conscious akisoma kile kitabu [emoji28] kitu ambacho ni kipya hata Dr Stephen stranger akufanya hivyo infact no mystical being anaweza fanya hivyo
Kwa mujibu wako ni sahihi kabisa nami nakubali ila tukichukua na character kutoka Xmen Jean Grey anakua ni powerful kuliko wote hao. Bado sijamchukua Reed Richard one of the most Smart character in Marvel ComicsSo rank Ni hii
_Thor
_Captain marvel
_scarlet witch
Thanos anaweza pigwa na mfanya kazi wake Ebony Maw.. hiyo haina ubishi. Thanos akivua Gauntlet yake na Thor akaweka nyundo pembeni Thanos atakufa in 5 minutes. Kinachomsaidia Thanos ana jeshi kubwaPia nimeona watu wanasema thanos sio chochote bila Ile gauntlet yake eeh bwana kabla sijaendelea si mnakumbuka alimgonga hulk kwenye hand to hand combat bila gauntlet
Ronan mpaka sasa sijaona Upoweful wake si bora hata Yon RogAya sasa tuendelee thanos ni among powerful Titan nikurudushe nyuma kidogo kwenye Guardian of the galaxy Ronan the accuser huyu ni kree hii race bana[emoji1787] ni ubabe mwingi tuachane na hayo
Nakumbuka part hiyo, last time naangalia GOG ni jana usiku tu! Sawa ni kweliii comics zinamtaja Thanos as powerful being ila bado sijaona uwezo wakebaada ya kupata ile infinix stone ambayo walikuwa wanaisaka ambapo waliingia mkataba na thanos kwamba akiipata ampe thanos na yeye ata destroy a xandar capital iliopo planet za Nova prime kama makubaliano yao lakini Ronan akabadili mawazo akasema nitatumia hii infinix stone nita destroy xandar na thanos msaidizi wake korax sijui kama jina nimepatia akamwambia boss thanos Ni among powerful being in universe hivyo afikirie hicho anachotaka kufanya
Agent of Shield ninayo nipo s4 ila nimestop kidogo naangalia blacklist kwqnza. Ngoja nione kama part hiyo nitaifikiaKwenye season ya agent of shield sikumbuki episode ila kuna kree aliwaonya kwamba kuna mtu so powerful atakuja ku destroy planet Earth ambae alitajwa jina ni thanos tena hapa hata avengers infinity haijatoka kwa mtu ambae haufatilii marvel movies kwa wakati huo hutaweza kuelewa thanos ni nani maana agent of shield ni ya mda kidogo
Gorr the slayer sijasoma comics zake sana nimeona Christian bale ndio atampotray kwenye muvi. Lets wait tuone. Thanks for challenge usiku nitasoma comic ya huyu Gorr the slayerNa huyo kree aliwaambia hata hao avenger hawataweza kuwasadia
rvel wame introduce two villan ambae ngoja tuone kwenye upcoming movies kama wataweza mfikia thanos ambao ni
Gorr the gods Slayer kwenye comics huyu alikuwa anaua gods dizaini Kama kina thor sasa pata picha unawaua hao watu utakuaje na sidhani kama Thor atakua pekee yake maana ila ngoja tuone kwenye Thor love and thunder itakuaje
Mpaka sasa marvel studios hawajaconfirm kama watamtumia Adam kwenye GOG vol 3 ngoja tuone itakavyokua wakitangaza Cast yaoKuna Adam huyu utamkuta kwenye comics lakini tayari kashakuwa introduced in guardian of Galaxy franchise nadhan vol 3 ikitoka tutajua
Yeah nami nakubali. The next just league movie itakua kali zaidi kuliko hii iliyotoka. Sijaipenda wala...Kuhusu darkseid kwakua nimechoka kuandika niseme tu next Justice league movie itakuwa ni moto na ashajua Earth kuna life equation anayoitafuta ngoja tuone ...
Finally a worthy opponent, Our battle will be Legendary [emoji28]
It's right Thor ni Strongest character lakini hiyo haimfanyi kumshinda Carol Denver. Sikatai kua ni God lakini ujue Odin ni strong zaidi kuliko Thor pia
Wanda nae ni strongest character mpaka sasa alichokua anafanya ni kutumia Atral body yake kufanya tas zingine kama Doc strange. Wana ni strong kuliko strange hilo halina ubishi ngoja tuone 2022 itakuaje
Kwa mujibu wako ni sahihi kabisa nami nakubali ila tukichukua na character kutoka Xmen Jean Grey anakua ni powerful kuliko wote hao. Bado sijamchukua Reed Richard one of the most Smart character in Marvel Comics
Thanos anaweza pigwa na mfanya kazi wake Ebony Maw.. hiyo haina ubishi. Thanos akivua Gauntlet yake na Thor akaweka nyundo pembeni Thanos atakufa in 5 minutes. Kinachomsaidia Thanos ana jeshi kubwa
Ronan mpaka sasa sijaona Upoweful wake si bora hata Yon Rog
Nakumbuka part hiyo, last time naangalia GOG ni jana usiku tu! Sawa ni kweliii comics zinamtaja Thanos as powerful being ila bado sijaona uwezo wake
Agent of Shield ninayo nipo s4 ila nimestop kidogo naangalia blacklist kwqnza. Ngoja nione kama part hiyo nitaifikia
Gorr the slayer sijasoma comics zake sana nimeona Christian bale ndio atampotray kwenye muvi. Lets wait tuone. Thanks for challenge usiku nitasoma comic ya huyu Gorr the slayer
Mpaka sasa marvel studios hawajaconfirm kama watamtumia Adam kwenye GOG vol 3 ngoja tuone itakavyokua wakitangaza Cast yao
Yeah nami nakubali. The next just league movie itakua kali zaidi kuliko hii iliyotoka. Sijaipenda wala...
Wito waache kutumia rangi nyeusiii