Huyu utamuona kwenye Guardian of the Galaxy vol 3Kuna watu mmewataja hapo siwajui kabisa Gorr
Huyu yupo kwenye Guardian of the galaxy na Captain marvel. Hua ameshika nyundo fulani ana sura ya blueRonan
Huyu ni mentor wa captain marvel ambae mwishoni iligundulika yeye ndio adui. Kama ushaionaYon Rog
Huyu yupo X Men. Kama umeiona muvi ya X men Dark Phoenix ya 2019 utamuona amecheza SansaJean Grey
Hilo ndio jina halisi la Captain marvel.Carol Denver
Ni nan hawa?
Kuna watu mmewataja hapo siwajui kabisa
Gorr
Ronan
Yon Rog
Jean Grey
Carol Denver
Ni nan hawa?
Me nina swali je Captain marvel vs dark phoenix(wa x-men) nan atashindathe strongest Avanger ni Captain Marve.. kwanza anaweza kupaa bila kutumia means yoyote, anaweza kuvunja chochote kilicho mbele yake.
Hi apoKwenye hii link hamna kitu kamanda
Yes, ngoja nitumeUnaona ilivyo
View attachment 1737617