Kimwerymdodo5
JF-Expert Member
- Feb 10, 2019
- 2,043
- 3,305
sijawahi kuwa interested na aina ya movies wanazitengeneza hao jamaa, sijui ndo mnaziita sci-fi movies whatever...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeliona trailer ya justice league motoooBaada yaBruce na Tony kupata ile Stone aliyokua anatumia Loki kubadiriaha watu Tony aliichunguza akaona ipo kama alogalithm Tony akamuomba Bruce amsaidie kutengeneza Artificial Intelligence nyingine iitwayo Ultron kwa kutumia stone ya loki.
Baadae AI ya Ultron ilienda kinyume/Rogue ikachanganya Jarvis na Ultron kua kitu kimoja. Kumbuka mwanzo wa Avanger Age of Ultron Balton alipigwa risasi (?) ubavuni akaitwa doct Heren kutoka Korea ambae alikua anaweza kuotesha Tissue through cellular regeneration kwa muda mfupi Barton akawa amepona.
Ulton nae alimfuata doctor heren atengeneze mwili Artificial kwa kuotesha Tissue kweye mitambo ili Ultron apakie mind/AI kwenye huo mwili awe kama binaadamu. Baadae Cap na Wenzie waliziwia hilo Jarvis ndio akawa Uploaded kwenye mwili huo.
Sasa ule mwili uliotengenezwa ulikua unaEvolve taratibu kila siku hadi kua binaadamu kamili lakini ndani yake ni Artificial Intelligence.
QuizCharacter ya Captain America inanfanana na Jon Snow..wote wanajali na kupenda haki na utu. Ndio character naopenda kuishi kama wao
Binafsi nawapenda
Doctor Strange
Thor
Captain Marvel
Black Panther
2. Tesseract originate yake inaanzia huko kwenye viumbe waitwao Eternal. Nadhani muvi yake ikitoka tutaona zaidi. Ila kwasasa tunajua Tesseract ilikua Asgard for long time since asgardian wana long lifespan.. Odin alikua anaihifadhi.Quiz
1.Taja sababu ya vita kati hizi alien races mbili kree na skrull ?
2. Tesseract ili originate wapi ?
3.who is a strongest avenger ? And why
Sijawai kwenda na muda natizamaga movie zishapita muda.Vipi umeitazama muvi? Kitu kina 4hrs
Jana nimeangalia episode 2 za WandaVision looh najutia mb zangu. Japo wanasema inaanza kua nzurii ep 3Sijawai kwenda na muda natizamaga movie zishapita muda.
Nina amu ya kumuona Darksaid huyu Villan namemuona sana kwenye Memes za DCU&MCU fanboys akiwekwa Darksaid Vs Thanos according to Comic Thanos mchumba kwa Darksaid...unaweza waelezea hawa Darksaid na Stephen Wolf ni Race gani na mishe zao zipoje au DCU haupo vizuri sana.
Nimependa hili jibu na mimi nimo humuhumu huyu Demu ana power sana, wengi wanampa marks Thor baada ya kumpiga Thanos kwa kustukiza kwenye Infinity na ile Entrance yake pale kwenye vita watu wamemkariri hadi leo, kwenye Hand to Hand na Thanos fight kwenye Endgame kaonekana mdebwedo tu.3: Kwa muono wangu mapaka sasa kwa character walioletwa MCU the strongest Avanger ni Captain Marve.. kwanza anaweza kupaa bila kutumia means yoyote, anaweza kuvunja chochote kilicho mbele yake. Characters mwenye nguvu karibia kumfikia Carol ni Monica Rambaue. Ila wapo wengine kwenye comics huko strongest kuliko Carol.
Anayefutia ni Thor, sema thor bila Nyundo anakua mwepesi sana.
Captain marvel ana nguvu sana sema Kwenye muvi huko bado hawajaonyesha nguvu zake zote. Ila kwenye Comics huko ni hatari sana.Nimependa hili jibu na mimi nimo humuhumu huyu Demu ana power sana, wengi wanampa marks Thor baada ya kumpiga Thanos kwa kustukiza kwenye Infinity na ile Entrance yake pale kwenye vita watu wamemkariri hadi leo, kwenye Hand to Hand na Thanos fight kwenye Endgame kaonekana mdebwedo tu.
Scarlett ni witch sio strong kama Carol..Carol mtu wa kupambana nae amtoe jasho ni Hulk su Thor with Mjolnir au StormBreakerCaptain Marvel Vs Wanda hapa ndio utata maana yule Demu naye alimbinya Thanos mpaka akaomba msaada waachie mabomu.
Siku ukizifuatilia hutaacha nakuambia kama ni mpenzi wa Superhero movie. Ni addictive kama Game of Thrones. Avatar sijaipenda hata kidogo, Too Much CGI and VFX.Avatar naipenda hasa ule mti unaowaka taa...
Avenger huwa anaangaliaga mwanangu maana mie hua siielewagi maana naona ziko nyinginyingi tu.
uimara wa Thor haujaonekana kweny Infinity war na Endgame pekee mzee, tokea kweny Thor, Thor Darkside. Jamaa Ni God akiwa na mjolnir. Usiseme alimstukiza Thanos, alishamwahidi kwamba atamuua.Nimependa hili jibu na mimi nimo humuhumu huyu Demu ana power sana, wengi wanampa marks Thor baada ya kumpiga Thanos kwa kustukiza kwenye Infinity na ile Entrance yake pale kwenye vita watu wamemkariri hadi leo, kwenye Hand to Hand na Thanos fight kwenye Endgame kaonekana mdebwedo tu.
Captain Marvel Vs Wanda hapa ndio utata maana yule Demu naye alimbinya Thanos mpaka akaomba msaada waachie mabomu.
Uelewa wawatu huwa mdogo tu ila animated movie kuanzia story ubunifu huwa uko juu sana kumbuka nyuma yake kuna wachoraji ambao wanaamini imagination haina limitAnayezibeza cartoons namuhurumia tu.. Kuna animation nzuri sana na realistic like movie. Hawajajua kwanini animation zinapiga pesa ndefu Zaid
Thor Dark world.uimara wa Thor haujaonekana kweny Infinity war na Endgame pekee mzee, tokea kweny Thor,Thor Darkside. Jamaa Ni God akiwa na mjolnir. Usiseme alimstukiza Thanos, alishamwahidi kwamba atamuua.
Mwingine ambaye yupo strong Ni bwana mdogo Peter Parker.
Gauntlet sindio ule mpanga wa helcopta kwani ule una power gani sikama ngao au fimbo tu uwezo unatoka kwa mtumiaji.Thanos bila Inginity Gaunlet
Hulk si Baunsa aliyechangamka anauwezo gani wa kupambana na hawa wenye Extra super power...Wanda sianaweza mpasua Hulk kama Doctor Manhattan alivyompasua Rorschach kwenye Watchman, Cap Marvel anaweza mpasua Hulk kama anavyopasua ndege.Scarlett ni witch sio strong kama Carol..Carol mtu wa kupambana nae amtoe jasho ni Hulk su Thor with Mjolnir au StormBreaker
Kweli kabisa, Animation ni kazi sana maana mnafanya kazi kama mara mbili au mara tatu..Muingize sauti,hafu mtengeneze animation sasa. Na mzifanye kua realistic duuh.Uelewa wawatu huwa mdogo tu ila animated movie kuanzia story ubunifu huwa uko juu sana kumbuka nyuma yake kuna wachoraji ambao wanaamini imagination haina limit
Tarzan ananguvu ganiPeter Parker.
Infinity Gauntlet ni ile anayovaa anaweka infinity stone. Thanos angekutana na Captain marvel mwanzoni kabisa alikua anapigwa mapema..hata agekutana na Wanda bado angepigwa tu. Ndio maana batle zao ziliwekwa mwishoGauntlet sindio ule mpanga wa helcopta kwani ule una power gani sikama ngao au fimbo tu uwezo unatoka kwa mtumiaji.
Hulk ana indestructible body kama Luce Cage ndio maana alipovaa nano Infinity Gauntlet alibabuka tu mkono ila Stark alipovaa akasnap alikufaHulk si Baunsa aliyechangamka anauwezo gani wa kupambana na hawa wenye Extra super power...Wanda sianaweza mpasua Hulk kama Doctor Manhattan alivyompasua Rorschach kwenye Watchman, Cap Marvel anaweza mpasua Hulk kama anavyopasua ndege.
Inabidi nizitafute Movie zote zakina Loki na Thor nipo mweupe kabisa huu upande.Thor anampiga Surtur, Surtur anampiga Hela, halafu Thor anapigwa na hela. Sijawahi elewa hii Circle