Box Office battle: Avatar Vs Avengers

Box Office battle: Avatar Vs Avengers

Kuna watu mmewataja hapo siwajui kabisa Gorr
Huyu utamuona kwenye Guardian of the Galaxy vol 3
Huyu yupo kwenye Guardian of the galaxy na Captain marvel. Hua ameshika nyundo fulani ana sura ya blue
Huyu ni mentor wa captain marvel ambae mwishoni iligundulika yeye ndio adui. Kama ushaiona
Jean Grey
Huyu yupo X Men. Kama umeiona muvi ya X men Dark Phoenix ya 2019 utamuona amecheza Sansa
Carol Denver
Ni nan hawa?
Hilo ndio jina halisi la Captain marvel.

Another Question
 
Kuna watu mmewataja hapo siwajui kabisa
Gorr
Ronan
Yon Rog
Jean Grey
Carol Denver
Ni nan hawa?

Gorr - Villain anayetarajiwa kuwepo kwenye Thor: Love and Thunder
Ronan - Villain wa Guardian of the Galaxy Volume one
Yon Rog - Villain wa Captain Marvel
Jean Grey - Huyu yupo kwenye X-Men
Carol Denver - Captain Marvel herself
 
the strongest Avanger ni Captain Marve.. kwanza anaweza kupaa bila kutumia means yoyote, anaweza kuvunja chochote kilicho mbele yake.
Me nina swali je Captain marvel vs dark phoenix(wa x-men) nan atashinda
 
Me nina swali je Captain marvel vs dark phoenix(wa x-men) nan atashinda
Kwakweli mkuu hii bato ngumu sana hapo sijui yupi ni anaweza kumpiga mwenzie. Ila naamini kwa asilimia fulani Jean Grey anampiga Carol Denver
 
mm pia namchukia, Ipo google drive yangu ni 2 episodes ngoja nikuwekee link
 
Kwenye hii link hamna kitu kamanda
Hi apo
Screenshot_20210329-130248.jpg
 
Kuna uI mmojankuna Mtu amenitag ni ule wa Desktop icon na Layput nipe link Nimeupoteza
 
Back
Top Bottom