Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

princewilly

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
259
Reaction score
528
b031188cd37f42c75ac8988cba535ed0.jpg

Wakuu, kama swali linavyojieleza hapo juu...Boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi kabla ya kufuliwa?

Wanaume karibuni kutoa uzoefu na hata wanawake mnakaribishwa.
 
Nguo ya ndani inatunza organ sensitive kwa mwili wa mwanadamu hivyo usafi wa hali ya juu unatakiwa.Usafi wake ni pamoja na kubadili nguo ya ndani kila unapooga kwa maana kuwa unatakiwa uvae nguo iliyo kavu na safi.Wanaume wengi tumekuwa wagumu kulifanya hivi tukiamini ni tabia za kike kubadili nguo ya ndani kila siku..Laa hasha.Binafsi hadi namaliza chuo sikuwa na nguo hizo zinazozidi 3 hiyo ikisababishwa na hali ya kiuchumi na awareness niliyokuwa nayo.Wanaume tuvae boxer 1 kwa siku 1 tu

b031188cd37f42c75ac8988cba535ed0.jpg

Wakuu, kama swali linavyojieleza hapo juu...Boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi kabla ya kufuliwa?

Wanaume karibuni kutoa uzoefu na hata wanawake mnakaribishwa.
 
Back
Top Bottom