Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

b031188cd37f42c75ac8988cba535ed0.jpg


Wakuu, kama swali linavyojieleza hapo juu...Boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi kabla ya kufuliwa?

Wanaume karibuni kutoa uzoefu na hata wanawake mnakaribishwa.

Ikivaliwa bila kufuliwa kwa miezi tisa itapendeza zaidi. Nenda katekeleze ushauri wangu, utaona manufaa yake.
 
Back
Top Bottom