Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

Boxer naipitia dukani siku nina kidate, natafuta sehemu naivaa.

Nikimaliza game boxer natupa kwenye kapu, siku tena nikishtukiza kidate nawahi mahali nanunua naitimba, nikimaliza natupa kwenye kapu.

Mpaka siku akili zinikae sawa ndo nachagua za kufua nazitunza, nisizozipenda natupa.

In short ukiona nimevaa boxer ujue kuna kazi.
 
kila siku uoge na kila siku ubadilishe boxer, nunua boxer hata tano kila ukioga fua uliokuwa umevaa tundika ikauke utairudia baada ya siku ya tano ukimaliza kuvaa zile nne zilizobaki endelea na staili hiyo. boxer badilisha kila siku
 
kwa kawaida nguo ya ndani kama boxer na singland inatakiwa ivaliwe mara moja tu....

ila iko hivi, kwetu sisi wanaume tumeumbwa tofauti kdg na ndg zetu wanawake, hapa namaanisha via vya uzazi, wanawake wana asili ya unyevu unyevu huko chini, wengine ute mwembamba, wengine kitu kama mtindi sasa ole wako urudie chupi, hiyo harufu ni n inoma, pia kuna ambao hawana hizo character yaani ni wakavu kabisa.

nije kwa upande wa mwanaume, sisi tumeumbwa ni wakavu kabisa kiasi kwamba kwa wanaoishi maeneo ya baridi wanaweza kuvaa boxer hata siku tatu bila tatizo lolote, ila wanaoishi maeneo ya dar yenye joto boxer inatakiwa ivaliwe mara moja. kwa upande wangu hapa dar navaa mara moja , ila nikienda nyumbani (kaskazini) huwa navaa hadi mara tatu
 
Wanaume wachafu jamani!! Unarudiaje nguo ya ndani!!!
 
Back
Top Bottom