Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

b031188cd37f42c75ac8988cba535ed0.jpg

Wakuu, kama swali linavyojieleza hapo juu...Boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi kabla ya kufuliwa?

Wanaume karibuni kutoa uzoefu na hata wanawake mnakaribishwa.
masaaa kadhaa
 
Kwa siku za hali ya kawaida hapa dar navaa siku nne mpaka tano,kwa joto kama hili navaa siku tatu tu na inategemea kama sijafua navaa mpaka siku nne.
Jombaa umetisha
 
Kwa siku za hali ya kawaida hapa dar navaa siku nne mpaka tano,kwa joto kama hili navaa siku tatu tu na inategemea kama sijafua navaa mpaka siku nne.
UbuntuX hata uwe mafinga huwezi vaa boxer siku 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom