Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

b031188cd37f42c75ac8988cba535ed0.jpg

Wakuu, kama swali linavyojieleza hapo juu...Boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi kabla ya kufuliwa?

Wanaume karibuni kutoa uzoefu na hata wanawake mnakaribishwa.
Siku 100 mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lambofgod umenifanya nicheke sana, nusu ya kushusha vitu

mkuu hii yaweza kuwa sababu tosha kwa nini ndoa nyingi hazidumu siku hizi kwa kuwachosha mashela zetu kwa ufuaji wa boxer
 
mkuu hii yaweza kuwa sababu tosha kwa nini ndoa nyingi hazidumu siku hizi kwa kuwachosha mashela zetu kwa ufuaji wa boxer
Sifa ya mwanaume lazima anuke kwapa, akishindwa soksi, ukishindwa zaidi mdomo [emoji23][emoji23][emoji23], ukiona huna hivyo basi wewe sio mwanaume ni mlembo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom