Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,256
- 16,317
masaaa kadhaa
Wakuu, kama swali linavyojieleza hapo juu...Boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi kabla ya kufuliwa?
Wanaume karibuni kutoa uzoefu na hata wanawake mnakaribishwa.
Jombaa umetishaKwa siku za hali ya kawaida hapa dar navaa siku nne mpaka tano,kwa joto kama hili navaa siku tatu tu na inategemea kama sijafua navaa mpaka siku nne.
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Mimi Kama sijafanya ujinga na mwamke napiga Siku 7 hadi 10.
Uliwanusa ukiwa wapi?ivi unavaaje boxer siku 3? unaenda bafuni unarudi unaivaa tena mijasho, mikojo , manii ndo maana wengine wananukaga
Acha utaniSiku kumi sio mbaya.
UbuntuX hata uwe mafinga huwezi vaa boxer siku 3[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa siku za hali ya kawaida hapa dar navaa siku nne mpaka tano,kwa joto kama hili navaa siku tatu tu na inategemea kama sijafua navaa mpaka siku nne.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwaka huu tutaona mengiMimi Kama sijafanya ujinga na mwamke napiga Siku 7 hadi 10.