Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

Kwa siku za hali ya kawaida hapa dar navaa siku nne mpaka tano,kwa joto kama hili navaa siku tatu tu na inategemea kama sijafua navaa mpaka siku nne.
Mdomo wangu umebaki wazi kabisaaaaaaaa......[emoji47] [emoji47] [emoji47]
 
Nikija Dar, navaa kwa siku moja tu. Yaani, saa navua jasho limejaa balaa. Huwezi kuirudia kuvaa.

Nikiwa Moshi, Arusha, woi navaa hata siku tatu.
Duhhhh......[emoji15] [emoji15]
 
INUSE TU MKUU Kama hainuki KORODANI wewe vaa tu,, kwn anaiona nani?
 
Kwa matumizi ya binadamu wakawaida ni wiki .cha kuzingatia ni asubui pindi unapotaka kuivaa we inuse kama ina matatizo iweke kwenye feni ipigwe upepo,kisha idunge.
 
Hapana mzee nakupa uhuru halafu wakwe/mashemeji huwa katika maongezi wana kiwango cha maongezi

Tusije tukakerana ukanirudishia dada.
Ha h a ha ha utanipeperushia ndege wangu kisa dada yako
 
swali halinihusu kwani mi naachiaga kitu ining'inie tu
 
Mmhh kumbe ndio Mana mkipita karibu naskia kaharufuharufu [emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji3] [emoji2] [emoji1]
 


Wakuu, kama swali linavyojieleza hapo juu...Boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi kabla ya kufuliwa?

Wanaume karibuni kutoa uzoefu na hata wanawake mnakaribishwa.
kawaida yetu madume boxer na soksi ni mungu anajua sijui tumelaaniwa kwanini tunapenda kurudia rudia hata mimi nimevaa ile ile ya jana na huwa najishangaa uvivu wa kuchukua nyingine sijui unatoka wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…