Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,635
- 4,411
Labda uwe kikojoziSiku tatu nne mkuu? Si utakua unanuka mkojo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda uwe kikojoziSiku tatu nne mkuu? Si utakua unanuka mkojo?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]navaa hadi itakapochanika au kutoboka
Dushelele linaning'inia lenyewe. Labda uniulize suruali ivaliwe mara ngapiUnavaa shanga au ngozi
Kila baada ya kuoga unatakiwa ubadili boxer
Mpaka siku ukipata nafasi kufua![]()
Wakuu, kama swali linavyojieleza hapo juu...Boxer inatakiwa ivaliwe kwa siku ngapi kabla ya kufuliwa?
Wanaume karibuni kutoa uzoefu na hata wanawake mnakaribishwa.
Sijakuelewa mkuu unamaanisha niniWapiga passport vp hapo inakuaje
Sijakuelewa mkuu unamaanisha nini
Me ninazo kumi na tano siku nkifua huwa najaza kamba mbili mpaka kuna siku demu akaniuliza zote n zako au unauzaNina boxer kumi.so kila siku lazima ni change
Hilo jina mwambie alokufundisha kuniita hakutakii mazuri... uzee ushanifika sukari yote imekwisha..Sukari ya warembo nakuona nakuona
Waweza zungumzia bukta, ikiwa ulishaacha kuvaa boxer tang ubalehe kama mmMaswala ya kuvaa boxer nishaacha tangu nilipobalehe[emoji41] [emoji41]