Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

Siku mbili!!! Mmhh hapana siku tatu! Noo! Siku nne bhana. Walaa siku tano mwisho
 
Kwa siku za hali ya kawaida hapa dar navaa siku nne mpaka tano,kwa joto kama hili navaa siku tatu tu na inategemea kama sijafua navaa mpaka siku nne.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanaume ni mwanaume tu daadeki .hii ndo tofauti kati ya sisi na K
 
Back
Top Bottom