Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

Boxer inatakiwa ivaliwe siku ngapi kabla ya kufua?

wewe fanya tubadilishane... nipe wako nikupe huyu wangu namaanisha madada lkn.
Ha ha hah mzee kumbe engo lako lilikuwa kumuwinda dada yangu sasa yupi kati ya wale wengi?
 
Sifa ya mwanaume lazima anuke kwapa, akishindwa soksi, ukishindwa zaidi mdomo [emoji23][emoji23][emoji23], ukiona huna hivyo basi wewe sio mwanaume ni mlembo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndivyo mnavyodanganyana huko vijiweni!!!
 
Daslamu boxa ni siku moja tuu,

Moshi huko unapiga hata wiki [emoji41]
 
Unaweza kuta ex wake mmoja ndio kawa dada yake sasa hivi maana akili zake anazijua mwenyewe.
Ahaa sasa huyu jamaa ana X weng sana sjajua ataamua kunipa X au dada yake mwengne
 
Ukipata nyeusi unajipigia hadi mwezi mzima,kama ni nyeupe basi itapendeza Zaidi ukijipigia hadi week 2 hivi
 
Back
Top Bottom