Boxing: Kiduku amchakaza bondia kutoka India

Boxing: Kiduku amchakaza bondia kutoka India

Lazima ashinde maana wenye bondia wao, Azam, wameamua kumletea bondia wa kumrejesha kwenye ujiko wake baada ya kula kipondo game yake ya mwisho.

Ova
Kwa hiyo siku hiyo Azam tv hawakuwepo
 
Kiduku hana lolote.huyo mhindi ni lojo lojo sana,kama kiduku angekuwa fiti,angekuwa kamaliza kazi.
 
Wadau hamjamboni nyote

Pambano limeishia round ya tano baada ya bondia kutoka India kushindwa kuendelea
 

Attachments

  • 1712874276896.jpg
    1712874276896.jpg
    639 KB · Views: 2
  • 1712874268564.jpg
    1712874268564.jpg
    567.7 KB · Views: 3
  • 1712875038982.jpg
    1712875038982.jpg
    871.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom