Boxing: Kiduku amchakaza bondia kutoka India

Mbabe wa India ni mdhaifu sana hakuja na ule mkwara wake wa Bollywood, Kiduku anajua asee sio kwa yale makonde lilikua linakufa jitu kama angeakua kukomaa kisabuni.
 
Twaha bondia mzuri ila haraka ya kumaliza mapema kama Mike Tyson inamgharimu kwa kukosa stamina baada ya raundi ya sita.
---wachambuzi Ufm
 
Kiduku akapigane nje ya nchi......
 
Kiduku bondia mzur ila huwa anapapara ya kumaliza pambano mapema akikutana na mpinzan mgumu kadri muda unavoenda anazid kuchanganyikiwa pia hawez kupiga body punch
 
Huyo mtangazaji wa kike ana maneno ya kibaguzi sana hasa kwa Mhindi
Nikiwaambia Mtu mweusi ndio mbaguzi zaidi kupita race yoyote ila duniani mnakataa. Moyoni mwa mtu mweusi mmejaa majina kama Gabachori, Mhindi Koko, Mwarabu Koko, Nguruwe, Mzungu Pori na mengine mengine tu. Kinachomzuia ana uchumi mdogo, vinginevyo hakuna rangi mngeacha kuiona.
 
Kweli kabisa haya nimeyashuhudia sana na Bado nayashuhudia mtaani. Angalia mtu mweusi akipata mali anavyokua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…