TANZIA Boyd Mwabulanga aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Mbeya afariki dunia

Historia aliyoiacha ni kubwa sana, deni alilotuachia ni kubwa mno, daima mapambano ya haki yataendelea.
Pumzikeni kwa amani makamanda wote, mliotutoka ingali bado taifa/dunia ikiwahitaji.
Mwanga wa milele uwaangazie....
 
Dah....RIP bro...nakumbuka pale Carnival nilivyotambulishwa nawe ukanifanyia vyema...[emoji120]
 
Mwamba alipindua MEZA akatimuliwa A-Level. Mpaka dakika ya mwisho yeye ni mapambano tu. RIP Boyd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…