Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamba alipindua MEZA akatimuliwa A-Level. Mpaka dakika ya mwisho yeye ni mapambano tu. RIP BoydTANZIA TANZIA TANZIA
View attachment 1677866
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO-CHADEMA MKOA WA MBEYA.
Kwa Masikitiko Makubwa Tunawatanganzia Kifo Cha Kamanda Mwenzetu BOYD MWABULANGA
Enzi Za Uhai Wake Amewahi Kukitumikia Chama Chetu Kama Katibu Wa Mkoa Kwa Mafanikio Makubwa.
Pia Amewahi Kuwatumikia Wananchi Kama Diwan Wa Kata Ya Forest Katika Halmashauri Ya Jiji La Mbeya Na Katika Uchaguzi Wa October 2020 Alikua Ndiye Mgombea Wetu Wa Udiwan Wa Kata Hiyo Ya Forest.
Kifo Chake Kimetokea Huko Dar es Salaaam Alipokua Akiendelea Na Matibabu.
Tunaendelea Kuwasiliana Na Familia Kwa Taratibu Zaidi Za Msiba Na Tutawajulisha Kila Hatua Inayoendelea.
REST IN PARADISE KAMANDA BOYD
IMETOLEWA NA
GEORGE TITO
KATIBU MKOA WA MBEYA