Boyfriend hatimaye kuwa mume

Boyfriend hatimaye kuwa mume

Msimkatishe tamaa jamani, atapata hitaji la moyo wake naamini huyo anayemtaka atampata.
Kila la kheri dada.
 
Simnasemaga mme mzur anakuletea bwana....ungesubiri tuu
 
Mkuu kumpata mtu sahii kwa njia uliyoitumia sidhani kama utafanikisha,

Nenda kanisani pia sari sana Mungu atakupa hitaji la moyo wako!!
 
Unajisikiaje kutafuta mume mtandaoni?
Unahisi atakidhi mahitaji yaliyoko chini ya uvungu wa moyo wako?

Hivi siku hizi mwanaume amekuwa dili kama kiroba
Wanawake mtateseka sana kwenye huu ulimwengu wa akina mfalme juha

Mwanaume akae Ku PM atakuwa ni type yako usiweke vigezo bila wasifu binafsi
 
Mimi ni girl miaka 24 model sio muongeaji sana, natafuta mwanaume wenye umri kati ya miaka 25-30 kwa ajili ya kubadilisha mawazo ikiwezekana kuwa mume, awe ameokoka, sitaki sharobaro.

Uliyetayari ukuje pm

Ni PM nipo
 
Kwa ushauri tu nenda makanisani maana humu jf sidhani kama utakutana na mlokole unaye mtaka, zaidi utaishia kumegwa tu hapa
 
Back
Top Bottom