Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliookoka wako wanapatikana makanisani. Humu kumpata ni ngumu.Mimi ni girl miaka 24---model sio muongeaji sana,natafuta mwanaume wenye umri kati ya miaka 25-30 kwa ajili ya kubadilisha mawazo ikiwezekana kuwa mume,awe ameokoka,sitaki sharobaro.uliyetayari ukuje pm
aiseeDada unatafuta mume au unatafuta wokovu
Mimi ni girl miaka 24 model sio muongeaji sana, natafuta mwanaume wenye umri kati ya miaka 25-30 kwa ajili ya kubadilisha mawazo ikiwezekana kuwa mume, awe ameokoka, sitaki sharobaro.
Uliyetayari ukuje pm
Ni PM nipo