"Boys 2 Men", kwanini msiiache Tanzania ipumue?

Huu mtandao wa wahuni ulioasisiwa na jk ndio umeifikisha nchi kwenye huu umaskini na bado wanataka kuendelea kutuibia.

Nchi hii haiwezekani kupata maendeleo mpaka awa wahuni wote wafe.
Vipi ile 1.5 t ilishatolewa maelezo?
 
Sukuma gang ndio wataipeleka .
 
Twambie Kwanza,boys two men ni Akina nani? Utwambie nani ni Wanya,Nathan Morris na Stockmana
 
Hakuna cha kusali wala nini,tuamke tuyachakate vipande vipande Sasa hivi.
 
Ina maana wameshatukamata tena?
 
Mkuu, Ngungenge unafikiri hatuwezi kupata Bora zaidi ya hawa? Nchi ikasonga zaidi? Au watu milion 60, wao ndio vipanga tu!!
Mbona tulimpata magufuli naye akawa mwizi kwa mtutu wa bunduki.
 
Mkuu, Ngungenge unafikiri hatuwezi kupata Bora zaidi ya hawa? Nchi ikasonga zaidi? Au watu milion 60, wao ndio vipanga tu!!
Unawapatia wapi? Kwa mfumo upi? Ulioandaliwa na nani? Unahusika vipi katika kuuandaa mfumo wa kumuandaa raisi?

Tusipende porojo nyepesi nyepesi.
Raisi wa nchi wa miaka 10 ijayo mfumo unamuandaa sasa. Wa sasa aliandaliwa miaka 10 iliyopita hata aliyepita kwa mgongo wa Kudra aliandaliwa kwa hiyo nafasi ndo maana akawa hapo.

Swali: Ni nini unachofanya sasa katika mfumo wa kuandaa viongozi kuhakikisha raisi ajaye analelewa kufuata matakwa yako?
 
Nani anahusika na kumuandaa Rais ajaye?. Kina nani hao?
 
Dawa ni kuipiga chini CCM, miaka zaidi ya 60 kila siku ni porojo tu! Tuwape wengine nao wakizingua wapigwe chini! Ccm wamejipa hatikiliki ya nchi hii kwa hiyo wanafanya watakavyo! Ndio mana wanafunga watu kwa ajili ya kutetea katiba mpya!
Kenya waliipiga chini KANU ila wakampa urais Uhuru mtoto wa muasisi wa KANU. Ni sawa na kuweka mvinyo mpya katika kiriba cha zamani.
 
Tumechelewa kwasasa, Naamin tulimsema vibaya Magufuli pasi kujua, hatukulinda ipasavyo John, Ni John ndo angeweza kuwepo mpaka uchaguzi wa 2025 ndo angeweza kuwafuta rasmi kwa kumleta mtu ambae angekuwa against na wao ila kwasasa tumechelewa.
 
Juzi katika kongamano la kumuenzi Mzee Nauye, meza kuu, pale Ukumbi wa Chuo kikuu cha Dsm (UDSM)

Hahahahaa
Boyz 2 Men - Tutakua nao mpaka
End of the road 2030
maana Wana special tour
Na wanampango wa kuingiza watoto zao kwenye Band na tutakua na
Boyz 2 Men juniors
Sukuma gang Kwisha habari Yenu na Ndio mshakatwa mikia hivyo!
Hamtaki mkufeeeeee!
😁😁😁😁
 
Huu mtandao wa wahuni ulioasisiwa na jk ndio umeifikisha nchi kwenye huu umaskini na bado wanataka kuendelea kutuibia.

Nchi hii haiwezekani kupata maendeleo mpaka awa wahuni wote wafe.
Wewe umeongea kiume,
 
Huu mtandao wa wahuni ulioasisiwa na jk ndio umeifikisha nchi kwenye huu umaskini na bado wanataka kuendelea kutuibia.

Nchi hii haiwezekani kupata maendeleo mpaka awa wahuni wote wafe.
You are not serious hii nchi iliwahi kuwa tajiri?
 
Mkuu, Ngungenge unafikiri hatuwezi kupata Bora zaidi ya hawa? Nchi ikasonga zaidi? Au watu milion 60, wao ndio vipanga tu!!
Vipanga gani wapumbavu na wachawi hao, waliwahi kuonyesha wapi positive impact ya elimu yao kwa taifa hili?
Wanasaini vitu hata darasa la saba wanaona makosa eti wanajifanya hawakuona, sio wachawi hao?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…