Boyz II Men hili kundi limekufa Tanzania au limeongezwa wanachama?

Nape labda anaweza kua Rais wa TFF
 
Hili kundi baada ya kutengana na kufariki yule mzee wa kimasai na mmoja kujitoa Je, hili kundi bado lipo au limekufa nalo?
Halipo tena lilibadili jina baadaye.kutoka Boys 2 men na kuitwa friends of Lowasa baada ya Lowasa kupigwa chini uteuzi wa kugombea uraisi na CCM 2015 alipohamia Chadema

Aliporudi CCM group la friends of Lowasa likafa rasmi halipo tena hadi anafariki hakukuwa na kundi lolote linamhusu
 
Hili kundi baada ya kutengana na kufariki yule mzee wa kimasai na mmoja kujitoa Je, hili kundi bado lipo au limekufa nalo?

Kwa kificho au kwa siri, wanajipanga kuhakikisha mazalia wao wanaendelea kula mema ya nchi. Ingawa kuna kila dalili kuwa haitawezekana πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 

Ndio bahati mbaya iliyopo. Competion imekuwa kubwa sana. watu walionao wengi ni vilaza na hawajiwezi. Na wameshajijengea maadui
 
Nape na Makamba? Naunganisha Dot ndiyo maana kwenye ziara moja wamesema makamba wamemsamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…